Hivi ni kwamba laana, kutamkiwa maneno mabaya huja baadae kumuathiri mtu

Njia ya kuiondoa laana ni kitubu mapema kabla mtamkaji hajarudi mavumbini
 
Sio lazima, inategemea na matendo ma mienendo ya mtamkiwa. Ndo maana ni muhimu mtu uwe unasali na kusaidia masikini ili utengeneze kinga za laana na maneno mabaya unayonenewa na watu
 
Hakuna laana
 
Akitamka ukayqsikia yakatae fanya maombi ya kupinga alivyotamka, ulimi una nguvu ya kuumba.
 
General Rule: 'LAANA ya mzazi' huwa ni useless belief.

Exception 1: 'LAANA ya mzazi' = Ushirikina.

Exception 2: Baadhi ya wazazi (hususani Wamama) huloga mtoto under the umbrella of 'LAANA'.

Kama hujaelewa uliza. 😎

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…