Mtoto anaweza kumlaani mzazi?General Rule: 'LAANA ya mzazi' huwa ni useless belief.
Exception 1: 'LAANA ya mzazi' = Ushirikina.
Exception 2: Baadhi ya wazazi (hususani Wamama) huloga mtoto under the umbrella of 'LAANA'.
Kama hujaelewa uliza. π
-Kaveli-
Kwahio ni ushirikina.......nmeuliza mama mama aliniambia mdogo wake alilaniwa na baba yake na saizi watoto wake wanampiga adi analazwa ,.......ndo nauliza kama Kuna ukweliGeneral Rule: 'LAANA ya mzazi' huwa ni useless belief.
Exception 1: 'LAANA ya mzazi' = Ushirikina.
Exception 2: Baadhi ya wazazi (hususani Wamama) huloga mtoto under the umbrella of 'LAANA'.
Kama hujaelewa uliza. π
-Kaveli-
Hao watoto walikuzwa bila malezi ya baba yao?Kwahio ni ushirikina.......nmeuliza mama mama aliniambia mdogo wake alilaniwa na baba yake na saizi watoto wake wanampiga adi analazwa ,.......ndo nauliza kama Kuna ukweli
Exception 1: 'LAANA ya mzazi' = Ushirikina.General Rule: 'LAANA ya mzazi' huwa ni useless belief.
Exception 1: 'LAANA ya mzazi' = Ushirikina.
Exception 2: Baadhi ya wazazi (hususani Wamama) huloga mtoto under the umbrella of 'LAANA'.
Kama hujaelewa uliza. π
-Kave
Thank youException 1: 'LAANA ya mzazi' = Ushirikina.
Hii mzazi kama ni mshirikina akitaka kukukabidhi mambo yake ya kishirikina hukakataa lazima akuone wewe mtoto wake kuwa ni mbaya ndo ataanza kukulaani vibaya lakini Mungu wetu ugeuza laana kuwa baraka kwahiyo mama mzazi kama ni mshirikina hasipo kubali kuacha ushirikina bora afe kabisa maana neno la Mungu linasema husikubali mwanamke mchawi kuishi kwanini wewe mama mzazi hunakosa upendo kwa mwanao unaanza kumlaani jamani icho kitu hakipo huyo ni mshirikina kabisa