Hivi ni kwanini Baraza Kuu la CCM liliwaita na kutaka kuwahoji akina Membe na kumwacha Musiba?

Hivi ni kwanini Baraza Kuu la CCM liliwaita na kutaka kuwahoji akina Membe na kumwacha Musiba?

God and time!
Kuwahoji hakumaanishi kuwaadhibu - katiba waliyoiandaa wao ndiyo hiyo inayotumika kuwapa haki

Ktk kila hatua tujuwe kwamba kuna kesho na kesho kutwa
 
God and time!
Kuwahoji hakumaanishi kuwaadhibu - katiba waliyoiandaa wao ndiyo hiyo inayotumika kuwapa haki

Ktk kila hatua tujuwe kwamba kuna kesho na kesho kutwa
Lakini katika mazingira ya Shauri hili, ni kama uamuzi ushafikiwa tayari

Refer kauli aliyotoa Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally, hivi karibuni
 
Musiba ataitwa na aliowatuhumu ili athibitishe.
Hata hivyo Musiba ni kama kinyesi akikaganyayo mtu kikamtia hasira pasipo kufahamu ni njia gani ya kusafisha mguu wake.
 
Musiba sio mwanachama unapo mwita unamwita kama nan?
Hajanonesha uthibitisho kuwa yeye ni ccm hao wengine ni zaid ya wqnachama manake kwa nyakati zao qashakuwa viongozi wa kubwa ndani ya chama na selikal

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho njoo urudie tena mashudu yako, huyo ni nani?
IMG_20190727_080541.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama hamuogopi mtu, nimeuliza swali ni kwanini mnashikwa na kigugumizi kumwita Musiba na kumuhoji??
Kinana, Makamba na Membe wanaitwa kwa kuzingatia nafasi zao ndani ya Chama.
Musiba hana title yoyote ndani ya Chama utamwitaje.
Nakumbuka Horace Kolimba aliitwa kwa kutamka CCM imekosa muelekeo siku chache baada ya kutoka madarakani, wakati kuna maelfu ya watu wanatoa matusi ya nguoni dhidi ya ccm lkn wala hawaulizwi.
Mtoto wa jirani asipo kuamkia sio shida lakini mwanao wa kumzaa asipokuamkia ni issue.
Ni ujinga mkubwa kumuweka mtu kama Musiba kwenye kapu moja na Kinana
 
Musiba anadai yeye ni “mwanaharakati” na sio mwanachama wa CCM. Ni CCM pekee ndio wanaweza kuthibitisha hil. Otherwise CC ya CCM haina mandate ya kuwaita watu wasio wanachama wa chama chao.

Ile kamati ya haki, mamlaka na madaraka ya Ndugai ndio inayoweza kumsummon almost kila mtu atakayeonekana kuudhalilisha uleMuhimili
Lakini lazima tufahamu kuwa yeye Musiba ndiyo "root cause" ya haya yote yanayotokea
 
Kwanini CCM
1. Inavunja katiba? Kuingilia mawasiliano ya watu binafsi.

2. Kwanini inafanya unyanyapaa kwa wanachama wake?

A) Musiba Haitwi kuhojiwa

B) wazee wanaitwa

Waitwa wote A) na B) hapo juu haki intendee.

3. Kwanini ccm hairuhusu kukosolewa?

A) kuambiwa ukweli ni kosa?

B) kushauliwa nikosa?
Acheni kutupigia kelele tuna mambo nyeti ya kitaifa ...kama mnaona kuna sheria imevunjwa nendeni mahakamani

-
 
Kumwita mwanachama au kumtishia kumfukuza ni kuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Chama hakipaswi kuingilia uhuru wa mwanachama wa kutoa maoni yake bila kuvunja sheria za Jamhuri.

Ni ufinyu wa fikra tu unaotufanya watanzania kuonewa na Serikali na vyama vya siasa.

Hatujauza uhuru wetu kwa vyama wala serikali. Kuwa mwanachama siyo kigezo cha kukosa uhuru wa kutoa maoni bila kutishwa.
 
Absolutely true
 
Kwanini CCM
1. Inavunja katiba? Kuingilia mawasiliano ya watu binafsi.

2. Kwanini inafanya unyanyapaa kwa wanachama wake?

A) Musiba Haitwi kuhojiwa

B) wazee wanaitwa

Waitwa wote A) na B) hapo juu haki intendee.

3. Kwanini ccm hairuhusu kukosolewa?

A) kuambiwa ukweli ni kosa?

B) kushauliwa nikosa?
mhhhi ! hii hatari ,unamuacha musiba unamuita comrade kinana,ccm inapasuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtoto anatukana mtu mzima juwa katumwa na mtu mzima sio yeye mtoto.Tuepukane kuwadhalilisha viongozi wetu waliopita tuwaheshimu hata kama kuna jambo la utata, lawezekana kumalizwa kwa unyenyekevu bila publicity .
 
Back
Top Bottom