Hivi ni kwanini Baraza Kuu la CCM liliwaita na kutaka kuwahoji akina Membe na kumwacha Musiba?

Kwenye sheria ni lazima unapohitaji haki itendeke uhusishe pande zote ili uujue ukweli na ufanye uamuzi usiopendelea upande mmoja

Nimesikia kwenye kikao cha NEC ya CCM kilichomalizika siku chache zillizopita.huko Mwanza, kuwa kimeamua kuwaita akina Bernard Membe, Abdurahman Kinana na Yusufu Makamba kuwahoji kuhusu tuhuma zinazowakabili za kuvuja kwa sauti zao kwenye audio clips

Nina maswali machache ninataka kuwauliza hao wajumbe wa NEC walioazimia azimio hilo

1. Ni kwanini muwaite akina Kinana na kutaka kuwahoji wakati mmeacha kumuita Musiba, ikiwa mnatafuta haki itendeke kwa kusikiliza pande zote za mgogoro huo??

2. Hivi "privacy policy" haipo tena nchini Tanzania, ambapo mtu analindwa kisheria katika maongezi yake ya faragha??

3. Mnawezaje kuwa nyinyi NEC ya CCM kuwa ndiyo waamuzi wa kesi hiyo, wakati mnajua kabisa kuwa mnakiuka "principle" kuu ya "natural justice" inayosema "You can't be a judge in your own case"

4. Hivi kwa kitendo kilichofanywa na NEC ya CCM, siyo kinazidi kuthibitisha shutuma za wananchi walio wengi kuwa huyo Musiba anakingiwa kifua na anatumwa na mtu mzito sana ndani ya nchi hii kutoa hizo shutuma zake zisizokuwa na ushahidi??

Hili Taifa kama linafanya maamuzi yake kwa ubaguzi wa waziwazi kabisa, katika kuwashughulikia wahusika wake linalowatuhumu, kama huu tunaouona sasa tujue kama Taifa tupo hatarini kusambaratika

Naomba nijibiwe kwa hoja, wala si kwa kutoa povu
Hata mayala alihojiwa.
 
Umeshindwa kwenda kuwauliza CCM wenyewe unaleta umbeya na Majungu JF.
 
4. Hivi kwa kitendo kilichofanywa na NEC ya CCM, siyo kinazidi kuthibitisha shutuma za wananchi walio wengi kuwa huyo Musiba anakingiwa kifua na anatumwa na mtu mzito sana ndani ya nchi hii kutoa hizo shutuma zake zisizokuwa na ushahidi??
unataka ushaidi gani tena wakati audio zipo ?
maneno ya faragha maana yake useme maneno ya hovyo juu ya kiongozi wako?acha kukariri katiba kama kasuku
 
Unaweza kujikuta unapigwa adhabu ya kutogombea nafasi yyte ile ndani ya chama Kwa mwaka mzima.....
pindi ukipatikana na hatia....
najaribu kuwaza.....
 
Hebu tuambie nini kinaendelea kwa mzalendo no-2 Musiba?

Kimya kingi?
 
4. Hivi kwa kitendo kilichofanywa na NEC ya CCM, siyo kinazidi kuthibitisha shutuma za wananchi walio wengi kuwa huyo Musiba anakingiwa kifua na anatumwa na mtu mzito sana ndani ya nchi hii kufanya huo upuuzi wake??
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144] Mystery,
Mkuu, mwenye mbwa akikuta mbwa wake anakubwekea hamuulizi mbwa, anakuuliza wewe unayebwekewa hata kama na wewe hujui kwanini yule mbwa anakubwekea.
 
Musiba ni nani kule CCM?!
Musiba ni kada mbobevu wa CCM mwenye taarifa nyingi sana za wanaokihujumu chama cha mapinduzi pamoja na rais.
Ili kuinusuru CCM na hujuma ni muhimu Musiba aitwe na kamati kuu kuwataja watuhumiwa wengine wote waliosalia baada ya kuwataja hawa kina Membe, kinana na makamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna mhimili wa sheria yaani makama na sheria za kimtandao
Ume-comment vizuri sana......

Kama tuna mhimili wa mahakama, ambapo mashauri yote yanapelekwa huko na kuamuliwa kwa haki, je ni sababu zipi zilizofanya hao NEC ya CCM watwae majukumu ya mahakama??
 
Roho mbaya tu

Hawataki Membe agombee

CCM hakuna demokrasia kabisa .... ubabe tu
 
Unaweza kujikuta unapigwa adhabu ya kutogombea nafasi yyte ile ndani ya chama Kwa mwaka mzima.....
pindi ukipatikana na hatia....
najaribu kuwaza.....
Na hii ndio hukumu halisi inayotarajiwa na kusubiriwa kwa hamu atakayopewa Membe!
 
CCM haiogopi watu kama chadema ,huku ukizingua unasurubiwa kama yeyete

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayewasulubu. Wamepewa nafasi watoe dukuduku zao hadharani kwa mambo wanayoona hayaendi sawa kuliko kuyajadili gizani kama wachawi kusiko na tija kwa chama wala kwao wenyewe. It's healthy for a democratic institution.
 
Back
Top Bottom