Hivi ni kwanini Israel imeshindikana kufutika kwenye ramani ya dunia?

Hivi ni kwanini Israel imeshindikana kufutika kwenye ramani ya dunia?

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
739
Reaction score
1,113
Habari JF..

Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana.

Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia?

Israel kazungukwa na maadui pande zote lakini bado anadunda.

Je, wanakwama wapi?
 
Je wanakwama wapi?
Ngoja waje watasingizia U.S.A
 
Hivi kwa nn Israel inashindwa kurusha ata risasi kwenye mpaka wa Iran? [emoji23] Nafkiri Ayatullah kauli hio ataitekeleza endapo wayahudi day watakapokosea njia kuishambulia Iran kama wanavyosema kila siku
Mwaka Jana tu mwanasayansi wa Iran ameuwa, unajua Iran wanasema ni nani wamemuuwa.
 
JERUSALEM (Reuters) - The Iranian nuclear scientist assassinated near Tehran in November was killed by a one-ton gun smuggled into Iran in pieces by the Israeli intelligence agency Mossad, according to a report by The Jewish Chronicle on Wednesday. ... Iran has long denied seeking to weaponise nuclear energy.
 
Back
Top Bottom