Distant Relatives
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 415
- 731
Hakuna cha divine protection hizo ni propaganda. Israel inaundwa na wayahudi waliotapaka dunia nzima katika kila sekta nyeti hasa ya fedha, madini na tech na pili wameishika serikali ya US ambapo in turn inaipa msaada dola ya israel kijeshi (zaidi ya nusu ya bajeti ya jeshi la israel inatoka US). Kama ni kweli israel inalindwa na Mungu, basi huyo Mungu ni shetani sana maana kwa mauaji yanayofanywa na IDF huko gaza ni zaidi ya unyama.They have divine protection.
Kwa msingi huo ni ngumu sana kupambana na taifa la israel.