Hivi ni kwanini Israel imeshindikana kufutika kwenye ramani ya dunia?

Hivi ni kwanini Israel imeshindikana kufutika kwenye ramani ya dunia?

Habari JF..

Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana.

Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia?

Israel kazungukwa na maadui pande zote lakini bado anadunda.

Je, wanakwama wapi?
Hakuna ambaye yupo sirias kwa hiyo ishu hiyo lkn pia ana ulinzi thabit wa mabwana zake na yy ndio taifa linaloongoza kwa kupokea kiwango kikubwa cha pesa km msaada hapa dunian kutoka kwa marekan pamoja na hao wa ulaya.
 
Wapelekeni watoto wenu shule. Ulichoandika ni matokeo ya elimu ya madrasa. Kuna siku nilipita karibu na madrasa, nilistaajabu kuona watoto wadogo wanachapwa fimbo na shekh.
Hivi kwa nn Israel inashindwa kurusha ata risasi kwenye mpaka wa Iran? [emoji23] Nafkiri Ayatullah kauli hio ataitekeleza endapo wayahudi day watakapokosea njia kuishambulia Iran kama wanavyosema kila siku
 
Mbona wairani tena wanasayansi wanauawa na irani haina cha kufanya? Wajaribu waone moto... Endeleeni kuamini kwamba teknolojia ya irani ni kubwa kuliko ya Israel.
 
Israel Mboni ya jicho la MUNGU hashindwi milele kama aishavyo BWANA
 
Ndio Israeli inaundwa na Wayahudi ! Usisahau Kuna Ebrows ambao ni uzao wa Yakobo ndio hao MUNGU ameweka Agano la milele tangu BABU yao Abraham kabla ya kuitwa IBRAHIMU Baba wa Mataifa ,ukilaani Israel umelaaniwa ukiibariki umebarikiwa kabila 12 za Israel ndio hao wanaibeba Israel na hao Wayahudi .
Hakuna cha divine protection hizo ni propaganda. Israel inaundwa na wayahudi waliotapaka dunia nzima katika kila sekta nyeti hasa ya fedha, madini na tech na pili wameishika serikali ya US ambapo in turn inaipa msaada dola ya israel kijeshi (zaidi ya nusu ya bajeti ya jeshi la israel inatoka US). Kama ni kweli israel inalindwa na Mungu, basi huyo Mungu ni shetani sana maana kwa mauaji yanayofanywa na IDF huko gaza ni zaidi ya unyama.

Kwa msingi huo ni ngumu sana kupambana na taifa la israel.
 
Hizo ni illusions tu. Marekani imekuwa taifa kubwa miaka kibao hata israel haipo. Na wameendelea kwa sbb mbalimbali, mf za free labour ya utumwa, social inclusivity, kuwa na eneo kubwa na kuwa na bahari mbili zenye maji yasiyoganda kitu kinachoifanya iwe naval power. Na inaendelea kushamiri kiuchumi sbb ya Wizi na unyonyaji wa rasilimali za mataifa masikini.

Siamini kama Mungu alikusudia israel hii yenye serikali ya kiuaji kama ile.
Unafundishwa alafu unakuwa mjuaji wakati hujasoma history unabisha je?
 
Habari JF..

Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana.

Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia?

Israel kazungukwa na maadui pande zote lakini bado anadunda.

Je, wanakwama wapi?
Ngoja waje wanao fahamu hili
 
Ndio Israeli inaundwa na Wayahudi ! Usisahau Kuna Ebrows ambao ni uzao wa Yakobo ndio hao MUNGU ameweka Agano la milele tangu BABU yao Abraham kabla ya kuitwa IBRAHIMU Baba wa Mataifa ,ukilaani Israel umelaaniwa ukiibariki umebarikiwa kabila 12 za Israel ndio hao wanaibeba Israel na hao Wayahudi .
Israel ina survive kwa mgongo wa US na ubabe + unyama inaofanya dhidi ya Palestine. Haya mambo yanapohalalishwa Kwa visingizio vya dini ndio dunia inazaa serikali na vikundi vya kigaidi kama israel, saudi arabia, isis, boko haram. Dunia inaendeshwa kwa sheria za kimataifa sio story za kwenye biblia na quran!
 
Mungu wao alikuwa byzy 2006 ilipochezea kichapo mpaka waziri mkuu akajiuzulu
Unamaanisha Lebanon war?
Kama ndio hili tulishajadili labda kama una source yoyote (kutoka nchi yoyote) inayosema Israel alishindwa ile vita.
 
Hivi kwa nn Israel inashindwa kurusha ata risasi kwenye mpaka wa Iran? [emoji23] Nafkiri Ayatullah kauli hio ataitekeleza endapo wayahudi day watakapokosea njia kuishambulia Iran kama wanavyosema kila siku
Zile risasi zilizompiga mwanasayasi mkuu wa Iran pale Tehran hukuzisikia au
 
Back
Top Bottom