Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
hivi unajua jiografia wewe? Israel inapakana na Iran hata irushe risasi iran?Hivi kwa nn Israel inashindwa kurusha ata risasi kwenye mpaka wa Iran? [emoji23] Nafkiri Ayatullah kauli hio ataitekeleza endapo wayahudi day watakapokosea njia kuishambulia Iran kama wanavyosema kila siku
Ngoja waje watasingizia U.S.AHabari JF..
Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana.
Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia?
Israel kazungukwa na maadui pande zote lakini bado anadunda.
Je wanakwama wapi?
Ilishaandikwa kwenye vitabu na wao wenyewe wanajua ndio maana nowadays wakonawasiwasi mkubwa sanaThe answer is simple.
Hakuna mwenye uwezo wa kuifuta
Wakati kila mara wanafanya mauaji ndani ya viunga vya Tehran 😀😀😀Hivi kwa nn Israel inashindwa kurusha ata risasi kwenye mpaka wa Iran? [emoji23] Nafkiri Ayatullah kauli hio ataitekeleza endapo wayahudi day watakapokosea njia kuishambulia Iran kama wanavyosema kila siku
Watu wazima washaelewahivi unajua jiografia wewe? Israel inapakana na Iran hata irushe risasi iran?
Mauwaji gani hayoWakati kila mara wanafanya mauaji ndani ya viunga vya Tehran 😀😀😀
Mwaka Jana tu mwanasayansi wa Iran ameuwa, unajua Iran wanasema ni nani wamemuuwa.Hivi kwa nn Israel inashindwa kurusha ata risasi kwenye mpaka wa Iran? [emoji23] Nafkiri Ayatullah kauli hio ataitekeleza endapo wayahudi day watakapokosea njia kuishambulia Iran kama wanavyosema kila siku
Wanasayansi wangapi wa Nuklia wa Iran wameuawa ndani ya Iran??Mauwaji gani hayo
Kashakuja huyo Ayatollah wa kwa MsegapamvuNgoja waje watasingizia U.S.A
They have divine protection.Habari JF..
Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana.
Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia?
Israel kazungukwa na maadui pande zote lakini bado anadunda.
Je wanakwama wapi?
Did you mean God's protection? If your response is yes, there is something I would like to ask!They have divine protection.
mm-hmm, that's exactly what I meant.Did you mean God's protection? If your response is yes, there is something I would like to ask!
Tokea lini Mungu akawalinda waliompa kichapo Yesu? [emoji23]They have divine protection.