Hivi ni kwanini Israel imeshindikana kufutika kwenye ramani ya dunia?

Hakuna ambaye yupo sirias kwa hiyo ishu hiyo lkn pia ana ulinzi thabit wa mabwana zake na yy ndio taifa linaloongoza kwa kupokea kiwango kikubwa cha pesa km msaada hapa dunian kutoka kwa marekan pamoja na hao wa ulaya.
 
Wapelekeni watoto wenu shule. Ulichoandika ni matokeo ya elimu ya madrasa. Kuna siku nilipita karibu na madrasa, nilistaajabu kuona watoto wadogo wanachapwa fimbo na shekh.
Hivi kwa nn Israel inashindwa kurusha ata risasi kwenye mpaka wa Iran? [emoji23] Nafkiri Ayatullah kauli hio ataitekeleza endapo wayahudi day watakapokosea njia kuishambulia Iran kama wanavyosema kila siku
 
Mbona wairani tena wanasayansi wanauawa na irani haina cha kufanya? Wajaribu waone moto... Endeleeni kuamini kwamba teknolojia ya irani ni kubwa kuliko ya Israel.
 
Israel Mboni ya jicho la MUNGU hashindwi milele kama aishavyo BWANA
 
Ndio Israeli inaundwa na Wayahudi ! Usisahau Kuna Ebrows ambao ni uzao wa Yakobo ndio hao MUNGU ameweka Agano la milele tangu BABU yao Abraham kabla ya kuitwa IBRAHIMU Baba wa Mataifa ,ukilaani Israel umelaaniwa ukiibariki umebarikiwa kabila 12 za Israel ndio hao wanaibeba Israel na hao Wayahudi .
 
Unafundishwa alafu unakuwa mjuaji wakati hujasoma history unabisha je?
 
Ngoja waje wanao fahamu hili
 
Israel ina survive kwa mgongo wa US na ubabe + unyama inaofanya dhidi ya Palestine. Haya mambo yanapohalalishwa Kwa visingizio vya dini ndio dunia inazaa serikali na vikundi vya kigaidi kama israel, saudi arabia, isis, boko haram. Dunia inaendeshwa kwa sheria za kimataifa sio story za kwenye biblia na quran!
 
Mungu wao alikuwa byzy 2006 ilipochezea kichapo mpaka waziri mkuu akajiuzulu
Unamaanisha Lebanon war?
Kama ndio hili tulishajadili labda kama una source yoyote (kutoka nchi yoyote) inayosema Israel alishindwa ile vita.
 
Hivi kwa nn Israel inashindwa kurusha ata risasi kwenye mpaka wa Iran? [emoji23] Nafkiri Ayatullah kauli hio ataitekeleza endapo wayahudi day watakapokosea njia kuishambulia Iran kama wanavyosema kila siku
Zile risasi zilizompiga mwanasayasi mkuu wa Iran pale Tehran hukuzisikia au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…