Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
unajua sometimes you need to test dawa mnazozitengeneza....... siyo kutoa dose kwa wenzenu tu wakati hamjui hata ina-taste vipi
Tatizo ni kwamba dawa nyingine hazifanyiwi test kwani hakuna aliyewahi kuionja halafu akapata nafasi ya kutoa taarifa...... Mfano ni hiyo cyanide!!
Wanaume ni walaini kama mrenda.....ishini nao kwa akili na busara hata kama wanawafanyizia....(I know this is not good for your ears)!!
Otherwise, mtaimba mapambio kila siku....!!
Babu DC!!