Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

sasa sis wangu yaani na ujanja wako wote ,ndoa inakushinda.realy i feel so sory for you my dear?
sali basi jamani? au wapi unakosea?
hebu tuambie lifestyle yenu ,nataka uwe happy bwana daah!

Soma vizuri post yako Smile na majibu ya mkubwa mwenzangu @FP

h ha haaaaaa, sasa my dear wasipowadanganya hivyo watawapataje?
yaani mtu aje akuambie naishi kwa raha mustarehe na mke wangu ila nataka nikutumie tu mara mojamoja nikijisikia kubadilisha mtajisikiaje?
lazima akuweke kwenye anga za kukufanya ujione una thamani machoni mwake ili apate anachotaka, na ndo maana hamwachi mkewe sababu anajua hapo anapita tu........
ukiwasikiliza vizuri hao watu story nyingi huwa ni za uongo, ni gia tu ya kumpata mdada. Smile hii nimeandika kama nakuambia wewe lakini siyo..... ni kwamba tu nimeshindwa niiwekaje, lakini inamaanisha wale wanaofwatwa kuwa mpango wa kando......

Nampenda sana mdogo wangu Smile na hapa sitaki kuongeza kitu...

Ila contrast yenu ina bonge la echo!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Anayefanya hayo ni irresponsible cheater au ana matatizo zaidi ya anavyojihisi....

Mdau mwenye busara zake hata story za familia yake hazimo kwenye recipe yake na kidumu.....!!

Babu DC!!
Well said mzee mwenzangu....

Na hapo kwa bold, na hata kama KWA BAHATI MBAYA story ya familia yake ikaingia basi itakuwa ni ya kuisifia na wala si ya kuiponda!!
 
Inauma sana FP yan hata mimi kiukweli hakuna ninachofikiriaga kuniuma kama wife akichoropoka lol bora nisijue nikijua naua mtu
he he heeeee, na yeye ujue anaumia hivyo hivyo kujua mali zake zinagawiwa tu kama peremende, lol!
acha basi ili awe na amani, au unaonaje rafiki?
 
he he heeeee, na yeye ujue anaumia hivyo hivyo kujua mali zake zinagawiwa tu kama peremende, lol!
acha basi ili awe na amani, au unaonaje rafiki?
Mi siibagi hata siku moja ukizingatia siku hizi ni digitali nikizidiwa faster najimwaga na kafast jet
 
h he heeeeeeeeeee, we love you too.....
na sisi tukija kuwaambia hayo mtatuelewa? eti nakupenda sana lakini mipango ya kando haiepukiki.......

Unataka kuwa mjane ukingali bado wadai??

Telling a man kwamba unafikiria tu wala siyo kufanya ni sawa na kumpa kidonge cha cyanide....

Msamehe mzee mwenzangu........

Babu DC!!!
 
Soma vizuri post yako Smile na majibu ya mkubwa mwenzangu @FP

Nampenda sana mdogo wangu Smile na hapa sitaki kuongeza kitu...

Ila contrast yenu ina bonge la echo!!

Babu DC!!
babu, lazima mimi na Smile tuwe tofauti...... Smile bado ni binti
mimi nimeshakwepa mishale kibao...... tukiwa sawa itakuwaje hapo mtu mzima mwenzangu?
si unajua experience inamata?
 
Last edited by a moderator:
mie wa kwangu aliambiwa anataka kuolewa kabisa, akaambiwa siku zangu zinahesabika kwa hiyo ampe muda tu amalizie nyumba yake nyingine ili waishi kwa amani,kwamba mke wake siku hizi simjali hata ndugu zake siwapendi, blah blah kibao, hahaha siku waliyonikimbia bar nikasema huyu dada lazima nimtafute mpaka kieleweke, hahaha mdada alibwabwaja mbaya, aliniambia mpaka walipokuwa wanaenda kufanya matusi, siku mwanaume anarudi na mama nyamayao nyumbani kuomba msamaha nae akabwabwaja kivyake,hahaha mbona alisugua goti kulilia msamaha? kwa wanawake wote ma single, kama unadate na mume wa mtu jali wallet yake,(coz mie najua mtu anaedate na mume wa mtu ni ukwasi unamsumbua) usimsikilize blah blah zake coz ni za uongo mtupu na zinakupotezea muda wa ku chop money, hiyo kwenu ni biashara, fanyeni biashara achaneni na hadithi ndefu zisizo na maslahi, hatakuoa hata akwambie mke wake siku hizi anajikojolea kitandani na blah blah nyingine.

hakika umenena sawia, looooooooooooo!
 
Well said mzee mwenzangu....

Na hapo kwa bold, na hata kama KWA BAHATI MBAYA story ya familia yake ikaingia basi itakuwa ni ya kuisifia na wala si ya kuiponda!!

Sasa ukisifia familia si ni sawa na kupeperusha ndege??

Ukweli ni kwamba hakuna hata nafasi ya kujadili hayo mambo....

Pia vidumu ambavyo viko makini ukianza kuongelea familia yako vinakutoa nduki...

Kwani story za kupiga na kuchagiza upuuzi wenu zinakuwa zimeisha duniani??

Si bora muongelee habari ya Pope kujiuzulu wadhifa wake kuliko kuongelea mambo ambayo ni lethal??

Babu DC!!
 
Unataka kuwa mjane ukingali bado wadai??

Telling a man kwamba unafikiria tu wala siyo kufanya ni sawa na kumpa kidonge cha cyanide....

Msamehe mzee mwenzangu........

Babu DC!!!
unajua sometimes you need to test dawa mnazozitengeneza....... siyo kutoa dose kwa wenzenu tu wakati hamjui hata ina-taste vipi
 
babu, lazima mimi na Smile tuwe tofauti...... Smile bado ni binti
mimi nimeshakwepa mishale kibao...... tukiwa sawa itakuwaje hapo mtu mzima mwenzangu?
si unajua experience inamata?

Najua mtu mzima mwenzangu....

Ndiyo maana kila siku nazidi kumwombe Smile aongeze hesabu ya Valentine alizokwishaona hapa duniani...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa ukisifia familia si ni sawa na kupeperusha ndege??

Ukweli ni kwamba hakuna hata nafasi ya kujadili hayo mambo....

Pia vidumu ambavyo viko makini ukianza kuongelea familia yako vinakutoa nduki...

Kwani story za kupiga na kuchagiza upuuzi wenu zinakuwa zimeisha duniani??

Si bora muongelee habari ya Pope kujiuzulu wadhifa wake kuliko kuongelea mambo ambayo ni lethal??

Babu DC!!
umeona eeh!
hizo story za kuiponda familia huwa zinakuwaga..... lakini kama mimi nazichukulia ni za kizushi tu
kama kweli yupo kwenye tanuri la moto kwa nini asitoke kwanza apate upepo kidogo then aanze upya?
 
mpango wa kando hauumizi kichwa sababu taraka ya hawala ni makofi. hamna haja ya kumvumilia hawala ndo maana hakupi stress. Mke ni lazima mpango wa kando ni hiari so ukisema naye umuone unakua umejicommit wakati watakiwa uwe free ukimuoa itabidi utafute mpango wa kando mwingine. 😛oa mia
 
Back
Top Bottom