Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
K i z u n g u z u n g u....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
K i z u n g u z u n g u....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
sasa sis wangu yaani na ujanja wako wote ,ndoa inakushinda.realy i feel so sory for you my dear?
sali basi jamani? au wapi unakosea?
hebu tuambie lifestyle yenu ,nataka uwe happy bwana daah!
h ha haaaaaa, sasa my dear wasipowadanganya hivyo watawapataje?
yaani mtu aje akuambie naishi kwa raha mustarehe na mke wangu ila nataka nikutumie tu mara mojamoja nikijisikia kubadilisha mtajisikiaje?
lazima akuweke kwenye anga za kukufanya ujione una thamani machoni mwake ili apate anachotaka, na ndo maana hamwachi mkewe sababu anajua hapo anapita tu........
ukiwasikiliza vizuri hao watu story nyingi huwa ni za uongo, ni gia tu ya kumpata mdada. Smile hii nimeandika kama nakuambia wewe lakini siyo..... ni kwamba tu nimeshindwa niiwekaje, lakini inamaanisha wale wanaofwatwa kuwa mpango wa kando......
Well said mzee mwenzangu....Anayefanya hayo ni irresponsible cheater au ana matatizo zaidi ya anavyojihisi....
Mdau mwenye busara zake hata story za familia yake hazimo kwenye recipe yake na kidumu.....!!
Babu DC!!
he he heeeee, na yeye ujue anaumia hivyo hivyo kujua mali zake zinagawiwa tu kama peremende, lol!Inauma sana FP yan hata mimi kiukweli hakuna ninachofikiriaga kuniuma kama wife akichoropoka lol bora nisijue nikijua naua mtu
Mi siibagi hata siku moja ukizingatia siku hizi ni digitali nikizidiwa faster najimwaga na kafast jethe he heeeee, na yeye ujue anaumia hivyo hivyo kujua mali zake zinagawiwa tu kama peremende, lol!
acha basi ili awe na amani, au unaonaje rafiki?
h he heeeeeeeeeee, we love you too.....
na sisi tukija kuwaambia hayo mtatuelewa? eti nakupenda sana lakini mipango ya kando haiepukiki.......
babu, lazima mimi na Smile tuwe tofauti...... Smile bado ni binti
mie wa kwangu aliambiwa anataka kuolewa kabisa, akaambiwa siku zangu zinahesabika kwa hiyo ampe muda tu amalizie nyumba yake nyingine ili waishi kwa amani,kwamba mke wake siku hizi simjali hata ndugu zake siwapendi, blah blah kibao, hahaha siku waliyonikimbia bar nikasema huyu dada lazima nimtafute mpaka kieleweke, hahaha mdada alibwabwaja mbaya, aliniambia mpaka walipokuwa wanaenda kufanya matusi, siku mwanaume anarudi na mama nyamayao nyumbani kuomba msamaha nae akabwabwaja kivyake,hahaha mbona alisugua goti kulilia msamaha? kwa wanawake wote ma single, kama unadate na mume wa mtu jali wallet yake,(coz mie najua mtu anaedate na mume wa mtu ni ukwasi unamsumbua) usimsikilize blah blah zake coz ni za uongo mtupu na zinakupotezea muda wa ku chop money, hiyo kwenu ni biashara, fanyeni biashara achaneni na hadithi ndefu zisizo na maslahi, hatakuoa hata akwambie mke wake siku hizi anajikojolea kitandani na blah blah nyingine.
he he heeeeeeeeeeeeeeMi siibagi hata siku moja ukizingatia siku hizi ni digitali nikizidiwa faster najimwaga na kafast jet
mkwe nipo.......Nipo ndugu yangu. Umenionea wapi mkwe wangu FP ?
Well said mzee mwenzangu....
Na hapo kwa bold, na hata kama KWA BAHATI MBAYA story ya familia yake ikaingia basi itakuwa ni ya kuisifia na wala si ya kuiponda!!
unajua sometimes you need to test dawa mnazozitengeneza....... siyo kutoa dose kwa wenzenu tu wakati hamjui hata ina-taste vipiUnataka kuwa mjane ukingali bado wadai??
Telling a man kwamba unafikiria tu wala siyo kufanya ni sawa na kumpa kidonge cha cyanide....
Msamehe mzee mwenzangu........
Babu DC!!!
umeona eeh!Sasa ukisifia familia si ni sawa na kupeperusha ndege??
Ukweli ni kwamba hakuna hata nafasi ya kujadili hayo mambo....
Pia vidumu ambavyo viko makini ukianza kuongelea familia yako vinakutoa nduki...
Kwani story za kupiga na kuchagiza upuuzi wenu zinakuwa zimeisha duniani??
Si bora muongelee habari ya Pope kujiuzulu wadhifa wake kuliko kuongelea mambo ambayo ni lethal??
Babu DC!!
maombi yako yamesikilizwa babuNajua mtu mzima mwenzangu....
Ndiyo maana kila siku nazidi kumwombe Smile aongeze hesabu ya Valentine alizokwishaona hapa duniani...
Babu DC!!