Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

Dena Amsi mpango wa kando huwa ni tamaa za mwili tu ila kukweli mapenzi kwa wife huwa ni makubwa sana.
Ukiona mwanaume kaenda small house ni vijimambo tu ila hamaanishi mapenzi kwa mkewe yameisha na ndio maana huwa anajutia sana mkigombana.
Kuhusu kusema ya home mh hao ni wanaume vilaza ila huwa wanajikosha ili kumfanya huyo bibie ajisikie anapendwa zaidi kuliko big house. Kifupi muwe wavumilivu Dena Amsi mkiamini tunawapenda sana na mipango ya kando haiepukiki hata mara mojamoja lol
 
Last edited by a moderator:
h ha haaaaaa, sasa my dear wasipowadanganya hivyo watawapataje?
yaani mtu aje akuambie naishi kwa raha mustarehe na mke wangu ila nataka nikutumie tu mara mojamoja nikijisikia kubadilisha mtajisikiaje?
lazima akuweke kwenye anga za kukufanya ujione una thamani machoni mwake ili apate anachotaka, na ndo maana hamwachi mkewe sababu anajua hapo anapita tu........
ukiwasikiliza vizuri hao watu story nyingi huwa ni za uongo, ni gia tu ya kumpata mdada. Smile hii nimeandika kama nakuambia wewe lakini siyo..... ni kwamba tu nimeshindwa niiwekaje, lakini inamaanisha wale wanaofwatwa kuwa mpango wa kando......

Hapo kwenye red ni true true kabisa
 
Wajinga sana hawa eti ooohh kwanini hatukukutana mapema kabla ya huyu mwanamke sijui ni nini "Bure Kabisa"
ha ha haaaaaaaaaaaaaa, siyo kama nafurahia ila nimecheka sababu hayo maneno ndo huwa yapo kila sehemu......
achana nayo maana mimi huwa nayachukulia hayana maana yoyote..... ni story tu za kunogesha wanayoyafanya.
hebu mwambie unamtimua hapo nyumbani uone kama ataenda kwa huo mpango wa kando au atapiga magoti kuomba msamaha kwako
 
usijali my dear sis ,nawajua sana ...tena wengine wanaenda mbali zaidi wanadai wake zao wamefariki ,ukimuuliza kazikwa wapi? wapi kaburi.. wanadai oooh alifia baharini hatukuona mwili so tulitupa tu maua huko.kumbe wife mzimaaaa hana hata kovu.
 
Huwa wanajaribu ku win confidence za nyumba ndogo ili waone wanajaliwa.
Ila nikipata kile nakitaka natimua vumbi, ndo maana hatuwaowi, tunawatumia kupata ladha tofauti.

Halafu ni coward sana, maana wanayakimbia matatizo badala ya kuyasolve (kama yapo lkn).
 
Dena Amsi mpango wa kando huwa ni tamaa za mwili tu ila kukweli mapenzi kwa wife huwa ni makubwa sana.
Ukiona mwanaume kaenda small house ni vijimambo tu ila hamaanishi mapenzi kwa mkewe yameisha na ndio maana huwa anajutia sana mkigombana.
Kuhusu kusema ya home mh hao ni wanaume vilaza ila huwa wanajikosha ili kumfanya huyo bibie ajisikie anapendwa zaidi kuliko big house. Kifupi muwe wavumilivu Dena Amsi mkiamini tunawapenda sana na mipango ya kando haiepukiki hata mara mojamoja lol

Hiyo bluu I agree with you 100%
 
usijali my dear sis ,nawajua sana ...tena wengine wanaenda mbali zaidi wanadai wake zao wamefariki ,ukimuuliza kazikwa wapi? wapi kaburi.. wanadai oooh alifia baharini hatukuona mwili so tulitupa tu maua huko.kumbe wife mzimaaaa hana hata kovu.[/QUOTE]

Smile wewe nimechekaje kwenye hiyo bluu mama weeeee huyo kazidi "You made my day"
 
Last edited by a moderator:
Dena Amsi mpango wa kando huwa ni tamaa za mwili tu ila kukweli mapenzi kwa wife huwa ni makubwa sana.
Ukiona mwanaume kaenda small house ni vijimambo tu ila hamaanishi mapenzi kwa mkewe yameisha na ndio maana huwa anajutia sana mkigombana.
Kuhusu kusema ya home mh hao ni wanaume vilaza ila huwa wanajikosha ili kumfanya huyo bibie ajisikie anapendwa zaidi kuliko big house. Kifupi muwe wavumilivu Dena Amsi mkiamini tunawapenda sana na mipango ya kando haiepukiki hata mara mojamoja lol
h he heeeeeeeeeee, we love you too.....
na sisi tukija kuwaambia hayo mtatuelewa? eti nakupenda sana lakini mipango ya kando haiepukiki.......
 
shindwa huko
 
ha ha haaaaaaaaaaaaaa, siyo kama nafurahia ila nimecheka sababu hayo maneno ndo huwa yapo kila sehemu......
achana nayo maana mimi huwa nayachukulia hayana maana yoyote..... ni story tu za kunogesha wanayoyafanya.
hebu mwambie unamtimua hapo nyumbani uone kama ataenda kwa huo mpango wa kando au atapiga magoti kuomba msamaha kwako

Nashangaa ukiondoka kidogo kwenda kwa mama anaanza unarudi saa ngapi na ukiwepo anajidai kutokukujali
 
usijali my dear sis ,nawajua sana ...tena wengine wanaenda mbali zaidi wanadai wake zao wamefariki ,ukimuuliza kazikwa wapi? wapi kaburi.. wanadai oooh alifia baharini hatukuona mwili so tulitupa tu maua huko.kumbe wife mzimaaaa hana hata kovu.
ha ha haaaaaaaaaaa, ukilijua hilo utajua kila unachoambiwa huwa ni fix
kama unampenda anza naye kwa mapenzi yako lakini usitegemee ni kweli kwamba anakuja kupata liwazo kwako sababu kwake anaumizwa
 
Hiyo bluu I agree with you 100%
Unajua binafsi nimekuwa nikiangalia tabia za wanaume (Sio mimi) nimeona almost 90% wana vidumu au hata kama hawana wanavizia nje ya ndoa so ni vigumu kunambia kuwa wanaume ni waaminifu kwa asilimia kubwa....kwa mwanaume ambae hajamfuma mumewe na mtu au tetesi asijipe tumaini kuwa mumewe hana kidumu ni kuwa kajificha tu.
Hapa suala ni kushirikishana maombi ya familia na kuifanya familia iwe na hofu ya Mungu na kwa imani hiyo hizo dhambi zitapungua sana au kwisha kabisa!
 
shindwa huko
Hata nikishindwa Smile bado ukweli ndio huo cha msingi ni kukaa na kutafakari namna gani haya mambo ya nyumba ndogo yataisha. Unajua mi hata ukinifuma na nyumba ndogo madhara sio makubwa ila wewe nikikufuma lol kwisha habari yako yan huna chako Smile !
 
Last edited by a moderator:
Unajua binafsi nimekuwa nikiangalia tabia za wanaume (Sio mimi) nimeona almost 90% wana vidumu au hata kama hawana wanavizia nje ya ndoa so ni vigumu kunambia kuwa wanaume ni waaminifu kwa asilimia kubwa....kwa mwanaume ambae hajamfuma mumewe na mtu au tetesi asijipe tumaini kuwa mumewe hana kidumu ni kuwa kajificha tu.
Hapa suala ni kushirikishana maombi ya familia na kuifanya familia iwe na hofu ya Mungu na kwa imani hiyo hizo dhambi zitapungua sana au kwisha kabisa!
he he heeeeeeeeeee, wewe unafikiria hiyo 90% yote watu hawana hofu ya Mungu?
vidumu vinapatikana huko huko kwenye hofu ya Mungu
 
Wajinga sana hawa eti ooohh kwanini hatukukutana mapema kabla ya huyu mwanamke sijui ni nini "Bure Kabisa"

Hahaha Dena Amsi mwanaume wa ivo
Ni "bure labisa"

Mke ni
Mke tu na itabaki kiwa ivyo

Mbu nashukuru kwa nahau ya kibusati
 
Last edited by a moderator:
h he heeeeeeeeeee, we love you too.....
na sisi tukija kuwaambia hayo mtatuelewa? eti nakupenda sana lakini mipango ya kando haiepukiki.......
Yan FP ukikamatika na mpango wa kando umekwisha mazima wala usidhani utasamehewa na mwanaume.
Hilo hakunaga best mpango wa kando ni kwa mwanaume tu kwenu NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
Yan msamaha upo kwa vyote ila si kwa kukufuma na bwana mwingine....yan sijiulizi mara mbili tambaa zako na nisikuone tena tukutane mahakamani kwenye kugawana vitu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom