Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,534
- 11,449
Dena Amsi mpango wa kando huwa ni tamaa za mwili tu ila kukweli mapenzi kwa wife huwa ni makubwa sana.
Ukiona mwanaume kaenda small house ni vijimambo tu ila hamaanishi mapenzi kwa mkewe yameisha na ndio maana huwa anajutia sana mkigombana.
Kuhusu kusema ya home mh hao ni wanaume vilaza ila huwa wanajikosha ili kumfanya huyo bibie ajisikie anapendwa zaidi kuliko big house. Kifupi muwe wavumilivu Dena Amsi mkiamini tunawapenda sana na mipango ya kando haiepukiki hata mara mojamoja lol

Last edited by a moderator: