Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

yanachop chop money hayoooo,full uzamini,kodi ya nyumba,matibabu ada ya shule ,wazazi kijijini full insuarance,yaani unapiga umaskini teke
bado uhuru wa kuwa na mpenzi wako?
 

Ngoja waje wanaume wanaofanya hivyo watupe sababu zao. Sisi wengine hatufanyi hivyo.
 
hahahaha hujui mchele mmoja ila mapishi mbali mbali kuna bokoboko, pilau, wali mweupe, kuna ukoko n.k sasa nyumba kubwa inazidiwa maujuzi na nyumba ndogo fikiria ukifika mlangoni unabebwa mgongoni nyumba kubwa hata karibu tu hakuna :becky::becky:

sinipimie kabisa fidel!
mi naanza kubeba juu juu toka getini!lol!nini mlangoni!
NN yangu kama ipo ina kazi sana i see!lol!
 

Dah, inachoonyesha wewe ni/ushawahi kuwa nyumba ndogo make unajua mno what goes on katika hizo nyumba ndogo za watu!
Ahahahahaaaaaaa, ni mtizamo tu mkuu Dena Amsi!
 
Last edited by a moderator:
Nyamayao umenivunja mbavu somo lol!
umenikumbusha story moja!
ahahahahhaha mnyonge mgonge kwenye unyonge wake af chezeya sana akili!
 
Last edited by a moderator:


Wasipochafuka watajifunzaje.......???

He now knows jinsi ya kudeal na Nyamayao.....

Naomba niishie hapa, nisijekusutwa kwamba mie ni mchokozi....

Na umri huu wote....ngoja nikapige hadithi na Bibi....

Karibu mdogo wangu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
kwa kuwa unajiuliza basi endelea.ukipata jibu urudi,ukishindwa andika work plan uombe fund ufanye research.this is how life goes.
 
Kiroho kama huko vizuri, hivi vibushuti vingi vinapenda kwenda kwa waganga wa kienyeji. Visijekutoa roho we mama weeeee! Yatapita we mpende mmeo kuzidi vile mlivyokuwa mwanzo uone kama hakijaachwa kesho yake!
 
Najiuliza sana sipati majibu kwanini uende kumueleza matatizo/shida/ugomvi wako na mkeo huyu mwanamke wa nje tena unaomba akupunguzie stress?? Eeehhh??
Dada Dena kwa hiyo hapa aeende tu ila asimueleze nyumba ndogo matatizo yako kama nimeelewa vizuri
 
The Boss kuja hapa!hii dhambi we si ndio bangusilo wao kwa ule MTAGUSO ULIOTOA kipind kile!wakumbushe wenzio ulisema sheria namba ngapi ibara ya ngapi kifungu cha ngapi kinasema nini kuhusu hii?

hahhaaaa Snowwhite ...hii sheria iliyovunjwa hapa itampatia Kimada jeuri aanze kuleta mazarau kwa nyumba kubwa lol.
 
Last edited by a moderator:
sisi waislam tuna amini kuwa anayezini naee huziniwa
manake ukizini nje ya ndoa na kuna mtu atakuja kuzini na mke wako
so usijali kama wanaume wanaenda nje ya ndoa usijali na nyie mtaenda tu
 
Wasipochafuka watajifunzaje.......???

He now knows jinsi ya kudeal na Nyamayao.....

Naomba niishie hapa, nisijekusutwa kwamba mie ni mchokozi....

Na umri huu wote....ngoja nikapige hadithi na Bibi....

Karibu mdogo wangu...

Babu DC!!

na ntakusuta, ooh yeah anajua jinsi ya ku deal na mie haswaa, kwamba kama ni lazima akidue nje basi na atoe dudu tu mana akimaliza nguo zote nahisi atahisi nipo nyuma yake namuangalia, na hivyo nilivyomuwekea mkakati mgumu/mzito kwamba ikitokea tena, huo mkakati anao mukichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…