Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

Nyamayao umenivunja mbavu somo lol!
umenikumbusha story moja!
ahahahahhaha mnyonge mgonge kwenye unyonge wake af chezeya sana akili!

wacha tu mpendwa wangu, yap lilikuwa ni somo haswa kwangu, lakini sasa hivi mambo shwari kwa sana tu.
 

Mie nilidhani hiyo nyumba ndogo ikijua kuwa hauna tatizo lolote na mkeo and yet unaenda kwake Ndio atajiona wa maana I.e uko naye si kwa ajili ya kupunguza stress za home bali kwa kuwa unajiskia kuwa naye. Kama mie ni nyumba ndogo na unaniambia kasoro za mkeo nitakukimbiza maana unachoniambia ni kuwa mkeo asingekuwa na hizo kasoro wala usingeniona, na pia unasema kuwa mkeo akijirekebisha utaniacha. Ni mtazamo wangu tu.
 
Last edited by a moderator:

A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"
 
Last edited by a moderator:

ulichosahau kusema ni kuwa na nyie Mkienda kwenye hizo nyumba ndogo mnabembeleza. NN lazima ikunyenyekee maana kila inachoomba inapewa au hata kama haipewi inaambiwa kwa lugha nzuri na ya upendo na inapewa ahadi nzuri. Sasa mkeo home hata hela ya kununua luku hadi aandike proposal, unadhani atakunyenyekea? Hebu behave kwa NN kama unavyobehave kwa mkeo uone kama hajakukimbia kama si kukukimbiza. Na Karibu kubehave kwa mkeo kama unavyobehave kwa NN uone kama naye hajakutreat vizuri tena hata zaidi ya hiyo NN.

Na kumbuka kuna NN vichomi vilevile na bado huwa hambanduki, anakuendesha kama gari bovu na bado upo tu, hadi watu wanaanza kuamini kuwa umelishwa kitu. So sio ukweli asilimia Mia kuwa NN zinanyenyekea kihiiivyo.
 

na mipango kando mingine ni wae za watu, hao wamekimbia stress home, hao wafanyeje?
 
Last edited by a moderator:


Haya bwana Nyamayo,

I hope and do pray that your trategies are working....

Ila hongera sana kwani umeonesha kuwa maisha ni mapambano na vitu vizuri lazima mtu avipate kwa jasho...

Ingawa kuna watu wanavipata si kwa jasho bali hata damu..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mie nadhani kikubwa wataalamu wanafuata beki, wengi wakiomba kwa stelingi inakuwaga ngumu maswali kibao. Halafu pia mikunjo aina yote inawezekana, ndani huwa ni missionary zaidi ambayo unakojoa haraka kabla stelingi hata hajajiandaa. Nje hunyimwi hata mara moja, stelingi atakuambia tufanye asubuhi.
 
Wanawake will always be wanawake
Yani theme ya swali lako(thread) inajibiwa hivi kama awali
Mwanaume kuwa na mtu wa pembeni wa kike au hawara ni lazZmA! Piga uA!
Inatusaidia kujua nini tatizo ndan ya nyumba
FULLstoP
Ata kama akuna tatizo! Nyumba ndogo Pia ni laZMa
Inasaidia kujua kama perfection ya ndani ipo sawa au nje tuu ndo napo pata usawa
 
Mtagongwa na kila wanaume hadi muwe na mashimo makubwa kwa tamaa zenu
 
tabia ya mtu ndio chanzo cha kucheat tubadilikeni na tumuongopeni Mungu
 

So umekamilisha sentensi kuwa hata nikubebe mgongoni nyumba ndogo lazima as per ur comment?
 

my Bro,kwasasa hata nipate jaribu gani ntapambana nalo , kifo tu ndio hakiwezekaniki, lile lilikuwa somo kwangu kiasi cha kutosha,lakini mwenyewe alikuja kuniambia mie nina roho ngumu sana, "yaani nina kurudia asubuhi nakuta nimeandaliwa kila kitu na mie nilivyo fendee na breakfast napata bila kufikiria huyu mwanamke anafikiria nini kichwani kwake kunifanyia haya" hahaha baada ya kasheshe kuasha yeye ndio alikuwa anapata tabu ya kutaka kujua nilikuwa "naishije" kwenye hiyo miezi 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…