Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu


Experience ndiye mwalimu bora.....

Naomba Mungu akikujalia ukaanza kukunja mgongo na kushika mkongojo basi utuwekee uzoefu wako kwenye kitabu..

Babu DC!!
 

Jibu la swali lako la kwanza ni NDIYO. Kumuoa "mpango wa kando" haiwezekani kwa sababu "mpango wa kando" ni kama dawa, si chakula. Dawa tunakunywa tunapoumwa tu, lakini chakula ni routine. Na anaelezwa matatizo ili aweze kutoa tiba sahihi.
Huwezi kuniambia eti kama panadol ni nzuri basi nile hiyo badala ya ugali! Panadol nameza, kichwa kikishatulia naendelea na mengine. Maumivu yakizidi naenda kwa daktari, lakini nikishatibiwa narudi nyumbani. Hata daktari akinipa "admission" kulazwa, nikishapona ananipa "discharge" narudi nyumbani.
"Mpango wa kando" ni kwa ajili ya kuondolea stress tu, bila stress mpango huo hauhitajiki. Natumaini nimekujibu.
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…