h ha haaaaaa, sasa my dear wasipowadanganya hivyo watawapataje?
yaani mtu aje akuambie naishi kwa raha mustarehe na mke wangu ila nataka nikutumie tu mara mojamoja nikijisikia kubadilisha mtajisikiaje?
lazima akuweke kwenye anga za kukufanya ujione una thamani machoni mwake ili apate anachotaka, na ndo maana hamwachi mkewe sababu anajua hapo anapita tu........
ukiwasikiliza vizuri hao watu story nyingi huwa ni za uongo, ni gia tu ya kumpata mdada. Smile hii nimeandika kama nakuambia wewe lakini siyo..... ni kwamba tu nimeshindwa niiwekaje, lakini inamaanisha wale wanaofwatwa kuwa mpango wa kando......
ha ha haaaaaaaaaaaaaa, siyo kama nafurahia ila nimecheka sababu hayo maneno ndo huwa yapo kila sehemu......Wajinga sana hawa eti ooohh kwanini hatukukutana mapema kabla ya huyu mwanamke sijui ni nini "Bure Kabisa"
usijali my dear sis ,nawajua sana ...tena wengine wanaenda mbali zaidi wanadai wake zao wamefariki ,ukimuuliza kazikwa wapi? wapi kaburi.. wanadai oooh alifia baharini hatukuona mwili so tulitupa tu maua huko.kumbe wife mzimaaaa hana hata kovu.h ha haaaaaa, sasa my dear wasipowadanganya hivyo watawapataje?
yaani mtu aje akuambie naishi kwa raha mustarehe na mke wangu ila nataka nikutumie tu mara mojamoja nikijisikia kubadilisha mtajisikiaje?
lazima akuweke kwenye anga za kukufanya ujione una thamani machoni mwake ili apate anachotaka, na ndo maana hamwachi mkewe sababu anajua hapo anapita tu........
ukiwasikiliza vizuri hao watu story nyingi huwa ni za uongo, ni gia tu ya kumpata mdada. Smile hii nimeandika kama nakuambia wewe lakini siyo..... ni kwamba tu nimeshindwa niiwekaje, lakini inamaanisha wale wanaofwatwa kuwa mpango wa kando......
Huwa wanajaribu ku win confidence za nyumba ndogo ili waone wanajaliwa.
Ila nikipata kile nakitaka natimua vumbi, ndo maana hatuwaowi, tunawatumia kupata ladha tofauti.
Dena Amsi mpango wa kando huwa ni tamaa za mwili tu ila kukweli mapenzi kwa wife huwa ni makubwa sana.
Ukiona mwanaume kaenda small house ni vijimambo tu ila hamaanishi mapenzi kwa mkewe yameisha na ndio maana huwa anajutia sana mkigombana.
Kuhusu kusema ya home mh hao ni wanaume vilaza ila huwa wanajikosha ili kumfanya huyo bibie ajisikie anapendwa zaidi kuliko big house. Kifupi muwe wavumilivu Dena Amsi mkiamini tunawapenda sana na mipango ya kando haiepukiki hata mara mojamoja lol
mmmh shida anayo mwenyewe anaecheat na ni tamaa!Ukishacheat ujue lazima kuna shida/tatizo huwezi kucheat kama hakuna matatizo. sijazungumzia Tabia hapa
usijali my dear sis ,nawajua sana ...tena wengine wanaenda mbali zaidi wanadai wake zao wamefariki ,ukimuuliza kazikwa wapi? wapi kaburi.. wanadai oooh alifia baharini hatukuona mwili so tulitupa tu maua huko.kumbe wife mzimaaaa hana hata kovu.[/QUOTE]
Smile wewe nimechekaje kwenye hiyo bluu mama weeeee huyo kazidi "You made my day"
umepoteaje? miss u lovelito!Halafu ni coward sana, maana wanayakimbia matatizo badala ya kuyasolve (kama yapo lkn).
h he heeeeeeeeeee, we love you too.....Dena Amsi mpango wa kando huwa ni tamaa za mwili tu ila kukweli mapenzi kwa wife huwa ni makubwa sana.
Ukiona mwanaume kaenda small house ni vijimambo tu ila hamaanishi mapenzi kwa mkewe yameisha na ndio maana huwa anajutia sana mkigombana.
Kuhusu kusema ya home mh hao ni wanaume vilaza ila huwa wanajikosha ili kumfanya huyo bibie ajisikie anapendwa zaidi kuliko big house. Kifupi muwe wavumilivu Dena Amsi mkiamini tunawapenda sana na mipango ya kando haiepukiki hata mara mojamoja lol
shindwa hukoDena Amsi mpango wa kando huwa ni tamaa za mwili tu ila kukweli mapenzi kwa wife huwa ni makubwa sana.
Ukiona mwanaume kaenda small house ni vijimambo tu ila hamaanishi mapenzi kwa mkewe yameisha na ndio maana huwa anajutia sana mkigombana.
Kuhusu kusema ya home mh hao ni wanaume vilaza ila huwa wanajikosha ili kumfanya huyo bibie ajisikie anapendwa zaidi kuliko big house. Kifupi muwe wavumilivu Dena Amsi mkiamini tunawapenda sana na mipango ya kando haiepukiki hata mara mojamoja lol
ha ha haaaaaaaaaaaaaa, siyo kama nafurahia ila nimecheka sababu hayo maneno ndo huwa yapo kila sehemu......
achana nayo maana mimi huwa nayachukulia hayana maana yoyote..... ni story tu za kunogesha wanayoyafanya.
hebu mwambie unamtimua hapo nyumbani uone kama ataenda kwa huo mpango wa kando au atapiga magoti kuomba msamaha kwako
ha ha haaaaaaaaaaa, ukilijua hilo utajua kila unachoambiwa huwa ni fixusijali my dear sis ,nawajua sana ...tena wengine wanaenda mbali zaidi wanadai wake zao wamefariki ,ukimuuliza kazikwa wapi? wapi kaburi.. wanadai oooh alifia baharini hatukuona mwili so tulitupa tu maua huko.kumbe wife mzimaaaa hana hata kovu.
Unajua binafsi nimekuwa nikiangalia tabia za wanaume (Sio mimi) nimeona almost 90% wana vidumu au hata kama hawana wanavizia nje ya ndoa so ni vigumu kunambia kuwa wanaume ni waaminifu kwa asilimia kubwa....kwa mwanaume ambae hajamfuma mumewe na mtu au tetesi asijipe tumaini kuwa mumewe hana kidumu ni kuwa kajificha tu.Hiyo bluu I agree with you 100%
ha haaaaa umeona sasa!Nashangaa ukiondoka kidogo kwenda kwa mama anaanza unarudi saa ngapi na ukiwepo anajidai kutokukujali
he he heeeeeeeeeee, wewe unafikiria hiyo 90% yote watu hawana hofu ya Mungu?Unajua binafsi nimekuwa nikiangalia tabia za wanaume (Sio mimi) nimeona almost 90% wana vidumu au hata kama hawana wanavizia nje ya ndoa so ni vigumu kunambia kuwa wanaume ni waaminifu kwa asilimia kubwa....kwa mwanaume ambae hajamfuma mumewe na mtu au tetesi asijipe tumaini kuwa mumewe hana kidumu ni kuwa kajificha tu.
Hapa suala ni kushirikishana maombi ya familia na kuifanya familia iwe na hofu ya Mungu na kwa imani hiyo hizo dhambi zitapungua sana au kwisha kabisa!
Yan FP ukikamatika na mpango wa kando umekwisha mazima wala usidhani utasamehewa na mwanaume.h he heeeeeeeeeee, we love you too.....
na sisi tukija kuwaambia hayo mtatuelewa? eti nakupenda sana lakini mipango ya kando haiepukiki.......