Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

ahahahahhahhahahahhahha af mnaambia taratibu mi sijawahi na we ila kweli nakuona kabisa!
ahahahhahahhahahahhaha kweli mjanja akikutana na mjanja mwenzie lazima nyasi zisiote!
wageuzeni tu ka vibua !ni hiyo hiyo ndizi na maparachichi au nini ili tuwe na sisi sato?

hahahaha hujui mchele mmoja ila mapishi mbali mbali kuna bokoboko, pilau, wali mweupe, kuna ukoko n.k sasa nyumba kubwa inazidiwa maujuzi na nyumba ndogo fikiria ukifika mlangoni unabebwa mgongoni nyumba kubwa hata karibu tu hakuna :becky::becky:
 
Acheni kujidanganya nyie wanawake! Mi ninauzoefu sana na hizi nyumba ndogo na zinasaidia sana! Kuna mambo mengi hamyajui. Mwanamke ukiolewa unabweteka na hufundishiki kabisa. Unaziba maskio hata chakula cha mmeo unashindwa kupika, japo kukionja kabla hajala. Kwanini nisiwe na NN? Pia majibu mtu unajijibia tu kama mme ni mtu mwezako bila kujua kwamba ni kichwa cha pentagon.... Sasa kule kwenye nyumba ndogo kuna unyenyekevu wa hali ya juu sana! Kama ni kuhamia mi nilihamisha roho, kule home kunalala kiwiliwili tu!
Hahahahaahaaaaaaaaaaaaa! umenifurahisha sana wiyelele, inaonyesha lile tatizo la mkeo halijaisha na bado linakukera sanaaaaaaa! na umenifanya nicheke sana, yaani mwili kinondoni ila moyo na roho kimara Loh! angalia usije siku ukakosea ukataja jina la small house kwa mkeo, kikawaka zaidi.
 
:becky::becky::becky: alafu nyumba kubwa nasikia nazo huwa zinaonyesha ujuzi na utundu kwa vidumu/serengeti boyz unalijua hilo? kwa mmewe anabana ujuzi na utundu

mi ni NYUMBA!habari ya kubwa sijui nini!MIMI NI NYUMBA!so viserengeti sijui vitusker lsrger ni utoto wa kike!
 
Hamna ..
Maana usikute mkeo anajua matunzo kuliko nyumba ndogo.
mpaka ufikie hatua ya kumuoa mtu inamaanisha umeridhika nae
na kama mambo kitandani (au nyumbani kwa ujumla) hayaendi sawa mko tayari kuongelea sababu
mnajuana vema..

kwa hiyo mwanamme akienda kwa nyumba ndogo ni
vua suruali , panua mapaja, baada ya hapo byeeeeeee
anarudi kwa mkeooo.

pole zao wadada wanaotumiwa kama bajaji....

Kweli wife ndiye anae fanya nipendeze, ndiye anae hakikisha navutia mpaka kwa nyumba ndogo, tatizo lipo kwenye mapishi ya KUTIA mara utasikia leo nimechoka mara leo nimefua sana sasa hapo anakaribisha au anafungua milango wazi kwa nyumba ndogo kumsaidia KUTIA ndo hivyo KUTIA ni ubunifu na ujanja kwa kweli :becky:
 
mi ni NYUMBA!habari ya kubwa sijui nini!MIMI NI NYUMBA!so viserengeti sijui vitusker lsrger ni utoto wa kike!

wewe ni nyumba ongeza na nyumba kubwa yaani wewe ni NYUMBA KUBWA wengine wanao ongezeka kwa mmeo ni nyumba ndogo ndogo inaweza kuwa ya tembe au msonge n.k
 
Kuku huchosha kila siku kwa hiyo wanamme huenda kuonja dagaa kwa majirani


Hivi unajua waweza jikuta umeolewa na zombie? afu wa ukweee yupo yupo tu?

Hamna ..
Maana usikute mkeo anajua matunzo kuliko nyumba ndogo.
mpaka ufikie hatua ya kumuoa mtu inamaanisha umeridhika nae
na kama mambo kitandani (au nyumbani kwa ujumla) hayaendi sawa mko tayari kuongelea sababu
mnajuana vema..

kwa hiyo mwanamme akienda kwa nyumba ndogo ni
vua suruali , panua mapaja, baada ya hapo byeeeeeee
anarudi kwa mkeooo.

pole zao wadada wanaotumiwa kama bajaji....
 
nyingine huwa mbwembwe tu lengo kuu ni KUTIA na kuchapa mwendo

dahhhh wadada wengine wagumu kuwaingilia..
Na kuna wanaume hawapendi kushindwa na msicha kumkatalia
ye ndo anakuwa more attracted kwake . Anavutiwa zaidi na mbweembwee
zamaringo..

ndo hapo ataanza kububujika.
"mi na mke wangu sijua hata kwa nini tulioana"
" Nampango wa kumuacha siku za karibuni "
"Nahitaji mwanamke kama wewe maishani"

akisha kuvaa ndo huyo humuoni tena .
utamuona siku "Scorpio King" ana njaaaaaa...

ladies kuweni waangalifu ....
 
kuna mahali umenipoteza kidogo lakini nimejitahidi kukusoma...Kumbe Mpango kando ni maslahi otherwise hakuna kitu? Lakini Nyamayao labda unazungumzia kwa asilimia...ipo mipango kando mingine inajiweza na kujiendesha saana inataka kuwa na wewe pengine performance ni nzuri nk, nk....hapo unasemaje?

hapa nazungumzia nilichoambiwa na huyo dada, alitembea nae kisa alitaka hiki na kile, na jamaa alimuahidi kumfanyia hiki na kile,tamaa mbele, na hakufanyiwa hata kimoja,labda kama alimchuna za mfukoni tu, nilimtesa yule dada mpaka nikaridhika na nafsi yangu mwenyewe, alivyokuwa ananitobolea masiri yao ndio nilikuwa nakasirika zaidi, na jamaa home anatubu yale yale niliyoambiwa, hahah mke mtamu ati, aliomba msamaha akiusindikiza na haleluya kuu, yule dada alikuwa mchumba wa mtu, nilimfata mpaka yule mchumba wake ofisini na nikamcal mdada nikamwambia nipo kwa mume wako mtarajiwa, nikuharibie? aliteseka yule dada, alilia mpaka basi, natembea na picha za mchumba wake kama bible vile kwenye pochi yangu,hahaha kila mmoja nilimtesa kivyake,tukija kwenye ishu ya performance hapo ndio ntajua mwanaume nilienae anaweza hata kuombwa na wanaume wenzie akawapa pia kisa "wanajiweza" hapo tena ni kesi nyingine na naomba isinifike mana atanitia kinyaa cha milele, kwamba anatumika na wanaojiweza kisa performance yake? uuuuh, ipitie mbali kwa sasa.
 
hahahaha hujui mchele mmoja ila mapishi mbali mbali kuna bokoboko, pilau, wali mweupe, kuna ukoko n.k sasa nyumba kubwa inazidiwa maujuzi na nyumba ndogo fikiria ukifika mlangoni unabebwa mgongoni nyumba kubwa hata karibu tu hakuna :becky::becky:
Fidel80 hapo kwenye Red, hawezi kukufanyia hayo kama hauna pesa kwa walet yako.Hapo hupendwi wewe kinapendwa pesa yako tu.
 
kabisa yaani hakuna tena muda wa kuremba remba

Amakweli mambo hadharani siku hizi afrodenzi unajuwa mwanzoni nilijua umekosea na utarudi kuedit...LoL...kumbe mie ndio nimekosea!!...Ivi tujiulize why all this? Kwamba hatuna akili kiasi hiki? au ninyi wenyewe mnapenda kudanganywa na ndio maana tunajitahidi kusema lolote ili tupate tunachohitaji?? Why? Why? why?

Kama njia hiyo ingekuwa inaprove failure si wanaume wangeiacha??

cc snowhite.

 
Last edited by a moderator:
dahhhh wadada wengine wagumu kuwaingilia..
Na kuna wanaume hawapendi kushindwa na msicha kumkatalia
ye ndo anakuwa more attracted kwake . Anavutiwa zaidi na mbweembwee
zamaringo..

ndo hapo ataanza kububujika.
"mi na mke wangu sijua hata kwa nini tulioana"
" Nampango wa kumuacha siku za karibuni "
"Nahitaji mwanamke kama wewe maishani"

akisha kuvaa ndo huyo humuoni tena .
utamuona siku "Scorpio King" ana njaaaaaa...

ladies kuweni waangalifu
....

:becky::becky: sasa utajuaje huyu anataka KUTIA na kukimbia? mbinu gani mnatumia kung'amua hilo?
 
Fidel80 hapo kwenye Red, hawezi kukufanyia hayo kama hauna pesa kwa walet yako.Hapo hupendwi wewe kinapendwa pesa yako tu.

hata mimi nazama mfukoni kutoa wallet kutokana na huduma nayo pewa nikipewa zaidi na manjonjo ya kufa mtu lazima wallet icheke vizuri huduma ikiwa hafifu hata motisha inakuwa hafifu
 
Una-negotiate na anayekuibia?

Mie sioni hata la kuongea naye

Ili anisimulie, alikuwa ananikunja kabisa au inaingia yote??
NO WAY!

hapa nazungumzia nilichoambiwa na huyo dada, alitembea nae kisa alitaka hiki na kile, na jamaa alimuahidi kumfanyia hiki na kile,tamaa mbele, na hakufanyiwa hata kimoja,labda kama alimchuna za mfukoni tu, nilimtesa yule dada mpaka nikaridhika na nafsi yangu mwenyewe, alivyokuwa ananitobolea masiri yao ndio nilikuwa nakasirika zaidi, na jamaa home anatubu yale yale niliyoambiwa, hahah mke mtamu ati, aliomba msamaha akiusindikiza na haleluya kuu, yule dada alikuwa mchumba wa mtu, nilimfata mpaka yule mchumba wake ofisini na nikamcal mdada nikamwambia nipo kwa mume wako mtarajiwa, nikuharibie? aliteseka yule dada, alilia mpaka basi, natembea na picha za mchumba wake kama bible vile kwenye pochi yangu,hahaha kila mmoja nilimtesa kivyake,tukija kwenye ishu ya perfomance hapo ndio ntajua mwanaume nilienae anaweza hata kuombwa na wanaume wenzie akawapa pia kisa "wanajiweza" hapo tena ni kesi nyingine na naomba isinifike mana atanitia kinyaa cha milele, kwamba anatumika na wanaojiweza kisa perfomance yake? uuuuh, ipitie mbali kwa sasa.
 
mie wa kwangu aliambiwa anataka kuolewa kabisa, akaambiwa siku zangu zinahesabika kwa hiyo ampe muda tu amalizie nyumba yake nyingine ili waishi kwa amani,kwamba mke wake siku hizi simjali hata ndugu zake siwapendi, blah blah kibao, hahaha siku waliyonikimbia bar nikasema huyu dada lazima nimtafute mpaka kieleweke, hahaha mdada alibwabwaja mbaya, aliniambia mpaka walipokuwa wanaenda kufanya matusi, siku mwanaume anarudi na mama nyamayao nyumbani kuomba msamaha nae akabwabwaja kivyake,hahaha mbona alisugua goti kulilia msamaha? kwa wanawake wote ma single, kama unadate na mume wa mtu jali wallet yake,(coz mie najua mtu anaedate na mume wa mtu ni ukwasi unamsumbua) usimsikilize blah blah zake coz ni za uongo mtupu na zinakupotezea muda wa ku chop money, hiyo kwenu ni biashara, fanyeni biashara achaneni na hadithi ndefu zisizo na maslahi, hatakuoa hata akwambie mke wake siku hizi anajikojolea kitandani na blah blah nyingine.


Duuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhh,

Hapa ungekabidhiwa AK 47 basi tungeshuhudia genocide zaidi ya ile ya Kimbari....

Babu DC!!
 
Hawana akili wakipata majanga huko mfano; kuumwa au kuumia wanarudi nyumbani kuuguzwa na wake zao si muendelee na hao wa kando wanaojua mapenzi unarudi home kufanya nini? Yaani hawana akili hawa viumbe
 
Kweli wife ndiye anae fanya nipendeze, ndiye anae hakikisha navutia mpaka kwa nyumba ndogo, tatizo lipo kwenye mapishi ya KUTIA mara utasikia leo nimechoka mara leo nimefua sana sasa hapo anakaribisha au anafungua milango wazi kwa nyumba ndogo kumsaidia KUTIA ndo hivyo KUTIA ni ubunifu na ujanja kwa kweli :becky:

Hapana ..
solution hapo si nyumba ndogo.
Nyumba ndogo ni magojwa.

sasa hata mkeo anatumia damu si petrol anaruhusiwa kuchoka .
na kama kweli kazi za nyumbani zinamuelea ni kumtafutia mtu wa
kumsaidia mfano mfanyakazi wa ndani..

mi nakwambia umuoonyeshee bibie manjonjo yote jinsi gani
una hamu naye, unamtoa out mnaenda holiday, unambusu bila
kufikiria mmmmhhhhh atageuka kukupa kila unachotaka na kukutimizia
kila haja yako.. hadi ukisikia nyumba ndogo unawaza "ndo ini tu"??

Na ubunifu wa mambo matamu ni kazi ya wawili so mamake tu..
 
Back
Top Bottom