Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

umefanya ka utafiti kidogo mkuu wangu kuhusu hoja yako?
 
Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU!

Hivi ni kwanini wanawake wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

Maana hali ndo ilivyo jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti mpaka aibu yani.
Hao wanaokupapatikia hapo Hongera baa ndo unao maanisha?Ukikua utaacha .Hebu translate andiko lako hili kwa lugha ilokuja na ndege ili tujue kweli uko/umepitia UDSM.
 
He hehe he etii UDSM.....sema wanapenda hela...hata ungesoma havard kama hela hauna utabaki na chuo chako...blazaaaa
 
Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU!

Hivi ni kwanini wanawake wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

Maana hali ndo ilivyo jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti mpaka aibu yani.

How old r u?
 
Watafiti wa siku bana yaani wanafikiri tu wakiwa bar wanakunywa kisha wanatoa majibu
 
Kama na wewe umesoma UDSM basi nchi imekula hasara, kumbe chuo kinazalisha wapuuzi hivi
 
Yani eti huyu nae ni msomi wa udsm yani shida kweli kweli

Kiukweli wanadhalilisha saana hicho chuo. Sio lazima kila mtu awe mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, as a matter of fact, chuo hakina uwezo wa ku enroll kila mhitimu aliefaulu kitato cha sita.

Kwa mtazamo wangu, hicho chuo ni our nation's heritage kama ilivyo uwanja wa taifa, bunge n.k. Kila Mtanzania anafaa kujivunia, whether umesoma hapo au hujasoma hapo maana kwa namna moja au nyingine, uwepo wa chuo hicho umeweza kunufaisha maisha ya kila Mtanzania kwa nafasi yake. Sasa huwa nawashangaa hao watu wanaojisifia kusoma hapo, as if watu ambao hawajasoma hapo hawajasoma kabisa. Tambua kwamba hata kama wote wangekua na vigezo vyinavyohitajika kwenye chuo hicho, its practically imposible kwa kila mtu kuwa enrolled hapo.
 
Nimepiga alphabeti zote, sio wa Udsm wala Udom bt anachohitaji mwanamke pesa tu Hata uwe mchimba chumvi.
 
Kiukweli wanadhalilisha saana hicho chuo. Sio lazima kila mtu awe mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, as a matter of fact, chuo hakina uwezo wa ku enroll kila mhitimu aliefaulu kitato cha sita.

Kwa mtazamo wangu, hicho chuo ni our nation's heritage kama ilivyo uwanja wa taifa, bunge n.k. Kila Mtanzania anafaa kujivunia, whether umesoma hapo au hujasoma hapo maana kwa namna moja au nyingine, uwepo wa chuo hicho umeweza kunufaisha maisha ya kila Mtanzania kwa nafasi yake. Sasa huwa nawashangaa hao watu wanaojisifia kusoma hapo, as if watu ambao hawajasoma hapo hawajasoma kabisa. Tambua kwamba hata kama wote wangekua na vigezo vyinavyohitajika kwenye chuo hicho, its practically imposible kwa kila mtu kuwa enrolled hapo.

sure nyarandu alikuja kusain kuliweka nkrumah kweny urithi wa taifa hivyo hiki chuo n cha watz wot
 
Back
Top Bottom