Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama huyu ndio kasoma UDSm kuna chuo hapo
Hao wanaokupapatikia hapo Hongera baa ndo unao maanisha?Ukikua utaacha .Hebu translate andiko lako hili kwa lugha ilokuja na ndege ili tujue kweli uko/umepitia UDSM.Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU!
Hivi ni kwanini wanawake wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?
Maana hali ndo ilivyo jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti mpaka aibu yani.
Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU!
Hivi ni kwanini wanawake wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?
Maana hali ndo ilivyo jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti mpaka aibu yani.
Udsm ndo wapi huko?
Maskini sijui nani huyo kakuingiza chaka namna hii.......
Waliosoma udsm ni madomo zege kwa hiyo wanahonga ile mbaya.
Na mademu wengi si wanataka pesa.
Yani eti huyu nae ni msomi wa udsm yani shida kweli kweli
Vipi mimi nilisoma udsm..?
Kiukweli wanadhalilisha saana hicho chuo. Sio lazima kila mtu awe mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, as a matter of fact, chuo hakina uwezo wa ku enroll kila mhitimu aliefaulu kitato cha sita.
Kwa mtazamo wangu, hicho chuo ni our nation's heritage kama ilivyo uwanja wa taifa, bunge n.k. Kila Mtanzania anafaa kujivunia, whether umesoma hapo au hujasoma hapo maana kwa namna moja au nyingine, uwepo wa chuo hicho umeweza kunufaisha maisha ya kila Mtanzania kwa nafasi yake. Sasa huwa nawashangaa hao watu wanaojisifia kusoma hapo, as if watu ambao hawajasoma hapo hawajasoma kabisa. Tambua kwamba hata kama wote wangekua na vigezo vyinavyohitajika kwenye chuo hicho, its practically imposible kwa kila mtu kuwa enrolled hapo.