Hivi ni kwanini meli ikitembea maji yanamwagika?

Hivi ni kwanini meli ikitembea maji yanamwagika?

Sio bahari zote zina maji ya chumvi,ni bahari ya hindi tu. Na pia meli zingine zinapita kwenye maziwa,na baadhi ya mito mipana vya kutosha.
Mh hii mimi nina mashaka nayo,kuwa bahari nyingine hazina chumvi na bado zinaitwa bahari au ulitaka kusema kua kiwango cha chumvi kutoka bahari moja kwenda nyingine kinatofautiana!
 
Yani kama hivi.
 
Attachments

  • 1439885066689.jpg
    1439885066689.jpg
    9.2 KB · Views: 225
  • 1439885105131.jpg
    1439885105131.jpg
    9.7 KB · Views: 204
Mh hii mimi nina mashaka nayo,kuwa bahari nyingine hazina chumvi na bado zinaitwa bahari au ulitaka kusema kua kiwango cha chumvi kutoka bahari moja kwenda nyingine kintofautiana!

Kitu hakiitwi bahari kwa kuwa kina maji ya chumvi.
 
Kwa juujuu unawezasema nii kweli maji ya bahari hutumika kupoza engine ya meli. Lakini kiundani ni hapana, ila maji ya bahari hutumika kupooza 'coolant' ambayo ndiyo hutumika kupoza engine ya meli. Maji ya bahari ni corrosive sana. Yakitumika kuzunguka kwenye parts za engine ili kupooza, engine itachoka baada ya muda mfupi sana. Hata kwenye engine zetu za kawaida (majenerator, magari, nk) maji yanayopoza engine hupozwa na feni kupitia rejeta. Kwenye meli hutumia 'heat exchanger'. Kifaa ambacho kina mirija ya kupitisha maji ya kupooza engine, na pia mirija mingine ya kupitisha maji ya bahari. Kitendo hicho hufanya maji ya kupooza engine yabadilishane jotoridi na maji ya bahari. Hivyo maji ya kupooza engine yakitoka kwenye 'heat exchanger' yanakuwa yamepoa na yanarudi tena kwenye mzunguko wa kupooza engine. Na maji ya bahari nayo yanakuwa yamepata joto yanarudi baharini na mzunguko unaendelea. Hivyo ndiyokusema....maji ya bahari hayapoozi engine bali hupoza 'coolant' inayotumika kupooza engine. Hebu jaribu kuangalia mchoro huo hapo chini kama unaweza pata picha zaidi.
View attachment 277544

  • 1. Valve
  • 2. Pump ya kunyonya maji ya bahari
  • 3. Filter
  • 4. Heat exchanger yenyewe (kuna HE za aina nyingi sana)
  • 5. Engine IC
  • 6. Clutch
  • 7. Outlet pipe ya kumwaga maji baharini

Pia jaribu kuangalia mchoro huo hapo chini. Ni mchoro tata kidogo, lakini unaweza ukakupa picha zaidi.
View attachment 277545

Mbona hamjafungua hata kiwanda kimoja cha kutengeneza boti badala yake akina Bhakharessa wanaagiza kutoka ng'ambo pamoja na utalaamu huu wa kukariri vitabu vya wazungu😡:what:
 
Huu uzi kila siku nilikua naupita kumbe umehesheni elimu nzuri sana... sasa nifafanulieni na ile kitu niliona kwenye movie ya Captain Phillips wale maharamia wa kisomali walivyokua wanachapwa na maji yale yalokua yanatoka juu...ile haiwezi kuathiri uzito na balance ya meli? Daaaah wasomali walikoma japo walifanikiwa kupanda melini
 
Aiiiseeeeeeeee, umetukomoa wenyewe tulitaka kumzunguusha japo tulishamuelewa na majibu hatuna.

Hahahahaah, Samsun umetoa kali of the Day mkuu.
Nimecheka mpaka basi, umenikumbusha shule mwalimu akiuliza swali unajifanya kama humuoni unaokota peni chini, mara unaangalia pembeni. Mara umetoka nduki kwenda chooni
 
Mungu nisamehe, nilikuwa Forodhani kipindi fulani na My Son. Maana pale meli kibaoo
Alinipiga swali hili aisee nilivyojibu najua mwenyewe. Hapa naprint nampa asome.
Ila simpi bure, namuongezea na uongo mwingine, yaani uongo mweupe. Kwa kumuambia hii ndio teknolojia ya kisasa kwa meli za kisasa, ile niliokujibu mie mwaka jana pale Ocean front ni meli za mfumo wa zamani. Ila ukiulizwa jibu kama umevyosoma hapo.

Unajua wakuu vitu vingine tunapishana navyo ila mtu kuuliza unaona aibu na hawa watoto siku hizi watatuumbua saana, akisikia baba amesoma mpaka chuo kikuu na Degree basi anajua baba yake amesomea mambo yooote hadi mitishamba.
 
Mungu nisamehe,nilikuwa Forodhani kipindi fulani na My Son.Maana pale meli kibaoo
Alinipiga swali hili aisee nilivyojibu najua mwenyewe.Hapa na print nampa asome.
Ila simpi bure,namuongezea na uongo mwingine,yaani uongo mweupe.Kwa kumuambia hii ndio teknolojia ya kisasa kwa meli za kisasa,ile niliokujibu mie mwaka jana pale Ocean front ni meli za mfumo wa zamani.Ila ukiulizwa jibu kama umevyosoma hapo.

Unajua wakuu vitu vingine tunapishana navyo,ila mtu kuuliza unaona aibu,na hawa watoto siku hizi watatuumbua saana,akisikia baba amesoma mpaka chuo kikuu na Degree basi anajua baba yake amesomea mambo yooote hadi mitishamba.

Hahahahaaaaa!! Kwanza hakikisha huyo dogo hana ID humu jamvini. Unaweza ukakurupuka na photocopy zako.........dogo akiziona tu,...unasikia" Baba kumbe unaingiaga JF?" Hapo sijui utasema nini sasa na uongo wako wa technolojia ya zamani. Jipange vizuri mkuu.
 
Wadau nimeusoma huu uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho lkn hakuna aliyetoa jibu la kweli humu ndani. Swali linasema kwa nini meli ikitembea inatoa maji nje? Jibu! Kwanza sio tu meli ikiwa inatembea ndio inamwaga au inatoa maji nje no hata ikiwa haitembei bado itakuwa inatoa maji nje.

Kwa nini kwa sababu chini ya meli kuna propela zipo kama feni vile, ikiwashwa engine ndio zile propela zinazunguka meli au boti inatembea sasa pale kwenye zile propela kuna kuwa na uwazi unaopitisha maji kuingia ndani na maji yale yakiingia ndani lazima yatolewe kwa sababu yakijaa bila kutolewa yatasababisha meli kuzama.

Ndio maaana kuna mashine maalumu za kuyatolea nje yale maji ndio hapo unapoyaona yanatoka nje na zile mashine zinajitegemea zenyewe hazitegemei Kufanya kazi hadi engine ya meli iwe on na ndio maana hata meli ikiwa imesimama bado zile mashine zinatumika kutoa maji nje na ikitokea siku mashine ya kutolea maji nje zimezima linaweza tokea balaa ila wanakuwa nazo nyingi inategemea na ukubwa wa chombo.

Hata ukiwaangalia wale wavuvi wanaotumia mitumbwi coz hata mtumbwi pia unaingiza maji ndani yanapitia pale kwenye viungio bc wale utawakuta na makopo ya kutolea maji nje ili chombo kisizame na hata wale wanaopanda vimtumbwi vya kubebea abiria bc utawaona manahodha na makopo yao wanatoa maji nje na kama unapewa lifti basi utapewa kazi ya kutoa maji nje. Hilo ndio jibu sahihi kabisa sio hayo yaliopita huko juu.
 
Wadau nimeusoma huu uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho lkn hakuna aliyetoa jibu la kweli humu ndani. Swali linasema kwa nini meli ikitembea inatoa maji nje? Jibu! Kwanza sio tu meli ikiwa inatembea ndio inamwaga au inatoa maji nje no hata ikiwa haitembei bado itakuwa inatoa maji nje.kwa nini kwa sababu chini ya meli kuna propela zipo kama feni vile, ikiwashwa engine ndio zile propela zinazunguka meli au boti inatembea sasa pale kwenye zile propela kunakuwa na uwazi unaopitisha maji kuingia ndani na maji yale yakiingia ndani lazima yatolewe kwa sababu yakijaa bila kutolewa yatasababisha meli kuzama ndio maaana kuna mashine maalumu za kuyatolea nje yale maji ndio hapo unapoyaona yanatoka nje.na zile mashine zinajitegemea zenyewe hazitegemei lufanya kazi hadi engine ya meli iwe on na ndio maana hata meli ikiwa imesimama bado zile mashine zinatumika kutoa maji nje na ikitokea siku mashine ya kutolea maji nje zimezima linaweza tokea balaa ila wanakuwa nazo nyingi inategemea na ukubwa wa chombo.hata ukiwaangalia wale wavuvi wanaotumia mitumbwi coz hata mtumbwi pia unaingiza maji ndani yanapitia pale kwebye viungio bc wale utawakuta na makopo ya kutolea maji nje ili chombo kisizame.na hata wale wanaopanda vimtumbwi vya kubebea abiria bc utawaona manahodha na makopo yao wanatoa maji nje na kama unepewa lifti basi utapewa kazi ya kutoa maji nje.Hilo ndio jibu sahihi kabisa sio hayo yaliopita huko juu.

Mkuu wewe hujui na hujui kama hujui...... Mbona majibu yametolewa ya kuridhisha kabisa, wacha kukurupuka
 
We jamaa inaonekana masomo ya arts ulikuwa unafaulu sana.
 
Eureka! Mzee Archimedes uko wapi uje utufafanulie law of floatation na jinsi mameli haya yanavyofanya kazi?
 
Wadau nimeusoma huu uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho lkn hakuna aliyetoa jibu la kweli humu ndani. Swali linasema kwa nini meli ikitembea inatoa maji nje? Jibu! Kwanza sio tu meli ikiwa inatembea ndio inamwaga au inatoa maji nje no hata ikiwa haitembei bado itakuwa inatoa maji nje.kwa nini kwa sababu chini ya meli kuna propela zipo kama feni vile, ikiwashwa engine ndio zile propela zinazunguka meli au boti inatembea sasa pale kwenye zile propela kunakuwa na uwazi unaopitisha maji kuingia ndani na maji yale yakiingia ndani lazima yatolewe kwa sababu yakijaa bila kutolewa yatasababisha meli kuzama ndio maaana kuna mashine maalumu za kuyatolea nje yale maji ndio hapo unapoyaona yanatoka nje.na zile mashine zinajitegemea zenyewe hazitegemei lufanya kazi hadi engine ya meli iwe on na ndio maana hata meli ikiwa imesimama bado zile mashine zinatumika kutoa maji nje na ikitokea siku mashine ya kutolea maji nje zimezima linaweza tokea balaa ila wanakuwa nazo nyingi inategemea na ukubwa wa chombo.hata ukiwaangalia wale wavuvi wanaotumia mitumbwi coz hata mtumbwi pia unaingiza maji ndani yanapitia pale kwebye viungio bc wale utawakuta na makopo ya kutolea maji nje ili chombo kisizame.na hata wale wanaopanda vimtumbwi vya kubebea abiria bc utawaona manahodha na makopo yao wanatoa maji nje na kama unepewa lifti basi utapewa kazi ya kutoa maji nje.Hilo ndio jibu sahihi kabisa sio hayo yaliopita huko juu.

Hahahaaa! Aiseee! Tafuta jimbo ugombee mkuu. Au tayari.........isijekuwa naongea na muheshimiwa!
 
RugambwaYT
Nakuunga mkono kwenye hili...Wengi wenu mkikumbuka kwenye physics tulifundishwa kuwa hewa ina density ndogo kuliko maji, ndio maana air bubbles hazikai ndani ya maji, zinakuja kwenye surface....(Ni sawa sawa na kutoa ushuzi kwenye swimming pool ukitegemea watu hawatajua the higher the ushuzi the higher the bubbles)lazima uaibike.

...the higher the ushuzi the higher bubbles!

JF the place to be aiseee!
 
Back
Top Bottom