Hivi ni kwanini meli ikitembea maji yanamwagika?


Mkuu majibu yameshatolewa na hili lakwako naona ni kama unatuingiza chaka, fuatilia page za mwanzo kuna majibu yenye mashiko yametolewa.
 

Tulichouliza yale maji yanayotoka kila kwenye kona ya meli yani mbele kunakuwa na mashimo au bomba mbili zinatoa maji na nyuma hivyo hivyo yanamwagika hayo maji
 

Mkuu Asante kwa darasa hili, ila naomba maelezo zaidi hapo kwenye nyambizi, yaani inawezaje kumwaga maji yaliomo kwenye hizo 'ballast tanks' wakati ikiwa chini ya bahari, najua kumwaga maji ikiwa juu (surface water) ni rahisi, lakini chini ya bahari sijui inawezekanaje, naomba unielimishe tafadhali, asante tena kwa darasa hili.
 
Hiyo ni mikojo ya mabaharia, sababu huwa wanatumia sana vimiminika kuliko chakula.
 

Ballast tanks za submarine zina valves zinazoweza kufunga kabisa na kuwa air tight, kama mitungi ya gesi. Maana those very same tanks zinatukima kutunzia hewa au maji au both kulingana na mahitaji at that particular time. Nyambizi zina air compressors ambazo zinaweza kubadilisha mgandamizo (pressure) wa hewa ndani ya hizo tanks.

Ili nyambizi izame ndani ya bahari, compressor zinapunguza pressure ya hewa kuwa ndogo kuliko ile ya maji, so maji yanaingia kwenye tanks na kufanya uzito wa submarine kuongezeka na kupunguza (sio kumaliza) uwezo wake wa kuelea(negative buoyancy).

Ili nyambizi itokeze kwenye surface ya bahari, pressure ndani ya tanks inaongezwa hivyo pressure ya hewa inakua nzito kuliko pressure ya maji mpaka inasababisha maji yanatoke nje ya tanks, hiyo inaongeza uwezo wa nyambizi kuelea (positive bouyancy). Kumbuka hata kumaintain kina (depth) ya nyambizi kwenye maji hii process inakua inaendelea all the time kuhakikisha a certain balance kati ya uzito wa nyambizi na mgandamizo wa maji inapatikana maana ressure ya maji inapishana kati ya eneo moja la bahari na linguine.

Njia rahis ya kuelewa operation ya hizo tanks, ingawa sio mfano mzuri saana, ni kwa kutumia bomba la sindano (syringe). Ukiapply pressure maji yanatoka unabakiwa na hewa, ukiachia pressure, unavuta maji na hewa inatoka. Pia unaweza tazama video kwenye link hapo chini.






 

Mkuu inaelekea uliwahi kuwa kilaza darasani au mbishi kuelewa(natania tu) kwani uliingia ndani ya swiming pool ukakojoa mkojo hautoki? Ukilipata jibu la hapo utakua unelipata na jibu la hapa.
 

Asante mkuu
 
Mkuu inaelekea uliwahi kuwa kilaza darasani au mbishi kuelewa(natania tu) kwani uliingia ndani ya swiming pool ukakojoa mkojo hautoki? Ukilipata jibu la hapo utakua unelipata na jibu la hapa.

Hahaha, nimekusoma mkuu, ...mimi ni katika wale waliokuwa wanaogopa umande
 
Kuna watu wapo nondo humu sijawahi ona...Imepigwa fluid Mechanics na marine engineering hapa mbaka kizungu zungu

Heshima zote wakuu mliochangia hapa

Umeona eee, kuna watu wako njema kwenye nyanja zao!
 
Nadhani ni Yale maji yanayotoka kupoza injini. Japo sina uhakika, maana hata ikiwa imetia nanga huwa in a to a maji nje, pia huwa haizimi injini zake hata kama imepaki sijui pia KWA nini.
 

Hahahaaaaa mkuu nimecheka sana.
Asante.
 
Ngoja waje tuendeleze mjadala kuijua vizur meli mkuu
 
Jamii forum raha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…