Hivi ni kwanini mtu akihoji viongozi anaambiwa ni CHADEMA na akisifia viongozi anaambiwa yupo CCM?

Hivi ni kwanini mtu akihoji viongozi anaambiwa ni CHADEMA na akisifia viongozi anaambiwa yupo CCM?

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Utamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa
1. Elimu yetu ni mbovu?
2. Au ni umasikini?
3.Au ni taifa letu limekufa
4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu uccmulism na uchadalism?
 
Mpaka kizazi choote cha Sukuma gang kipukutike ndipo kauli hizo tata zitakapopotea.
 
Toa mifano, maana wengi wasifiano wamekwishajinasibisha na chama tawala na wapingap wengi wao wamekwishasema mara kadhaa wao wako upande gani.
Mafano kwa hapa jf ..
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah n.k hawa ni chama tawala.

Erythrocyte mwanachadema

Vishu Mtata huyu hafungamani na upande wowote.
acha ushirikina gentleman,

sifa na utukufu ni kwa Mungu pekee, anaetujalia zawadi ya uhai na afya bure. Na anae endelea kutujalia umoja, amani na utulivu katika Taifa letu Tanzania.

Ni muhimu sana kuMshukuru na kumsifu Mungu kwa kila Jambo maana sifa na utukufu ni vyake kwa karama na vipawa alivyo mjalia kila mja wake humu duniani 🐒
 
Jibu ni kwamba watanzania huwa hawako serious, hakuna tofauti yeyote kwa mashabikia wa mpira bongo na hawa washabikia siasa za bongo. Kwenye mpira kama wewe sio yanga basi simba na huku nako kama wewe sio ccm basi chadema.

Wao wanaamini serikali ndio ccm na upinzani ndio chadema, ni mwiko kupongeza jambo lilofanywa na serikali au upinzani kama ilivyo kwa mashabiki wa simba na yanga tu.
 
Utamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa
1. Elimu yetu ni mbovu?
2. Au ni umasikini?
3.Au ni taifa letu limekufa
4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu uccmulism na uchadalism?
ma snichi wapo wengi sana,hata maofisini shida tupu.
 
Kabla ya sukima genge pia hali ilikuepo.
 
Back
Top Bottom