P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Oct 11, 2024 #41 Ukiona mtu hataki; kukoselewa kuambiwa ukweli kupata ushauri tofauti na wa mawazo yake Huyu mtu ni mufilisi na hajitambui
Ukiona mtu hataki; kukoselewa kuambiwa ukweli kupata ushauri tofauti na wa mawazo yake Huyu mtu ni mufilisi na hajitambui
Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 13,332 Reaction score 7,351 Oct 12, 2024 #42 pilipili kichaa said: Ukiona mtu hataki; kukoselewa kuambiwa ukweli kupata ushauri tofauti na wa mawazo yake Huyu mtu ni mufilisi na hajitambui Click to expand... Kuna tatizo la baadhi ya watu kudhani kwamba ni serikali tu ndio inapaswa kukosolewa.
pilipili kichaa said: Ukiona mtu hataki; kukoselewa kuambiwa ukweli kupata ushauri tofauti na wa mawazo yake Huyu mtu ni mufilisi na hajitambui Click to expand... Kuna tatizo la baadhi ya watu kudhani kwamba ni serikali tu ndio inapaswa kukosolewa.