Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Noma sana
Mambo wanayoyaimba sasa!
They are not sexy to me
They all ain't shit
They look fake as Fu*k
Wapo na negative energy
Hao viumbe labda kama ni masterbation material wanafa.
Mambo wanayoyaimba sasa!
1. Money
2. Teaching other girls to be single wakat wao wanandoa za michongo
3.gold diging
4.$uckn dingaling
Mkuu hao viumbe hawajawahi kunibariki hata
Hata mbele rappers wakike walikua na pigo hizo, aliyebadili huo upepo ni Nicki Minaj. From Miss Elliot, Eve nk wote walikua wanajiweka kama masela.
Bongo rappers wakike ukitoa Rosa Ree kuna mwingine hivi sasa? Rosa Ree mwenyewe mrembo tu.
Kwema Wakuu!
Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja,
Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa.
Wanamapozi ya kike, wanajichetua, wanajibinua kikike. Kiukweli Wanavutia.
Licha ya kuwa wachanaji.
Lakini Huku kwetu Rappers wengi WA kike hujifanya majike dume, tomboy, wanajifanya wagumu.
Na hata pigo zao ATI wanapiga kiume.
Hapo ndipo nashindwa kuelewa na naomba ufafanuzi Kwa wataalamu katika sekta hiyo. Hiyo inamaana gani?
Hiyo Card B sio Pouwa, hiyo Nick Minaji akijichetua sio pouwa.
Kuna huyo Megan Thee Stallion mtoto mkali kichizi. Sijamtaja Mulato hapa.
Wapo Romantic na mvuto WA kingono.
Huku bongo nini kimetokea?
Nawasubiri
Hata huko marekani wengi ni hivyo hivyo mkuu.Nataka kujua mentality ya Rapper na utomboy au ujike dume ilisababishwa na nini hapa Bongo
Nataka kujua mentality ya Rapper na utomboy au ujike dume ilisababishwa na nini hapa Bongo
Mimi nahisi kulingana na aina ya uimbaji tu wa hizi nyimbo inabidi kidogo uwe stabon ujue hizi nyimbo zamani zilikuwa Kwa ajir ya mwanaharakati tu ila sema zimeingiliwa kwasababu ya njaa zao tu

Tuseme hip hop is a man thing.
Kwaiyo hawa wakwetu ili waweze kuwa accepeted kwenye community za maRapper ilibidi wawe hivyo!
Akina Iggy Azalea, Lil kim, Nick Minaji hatari sana hizo PisiKwema Wakuu!
Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja,
Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa.
Wanamapozi ya kike, wanajichetua, wanajibinua kikike. Kiukweli Wanavutia.
Licha ya kuwa wachanaji.
Lakini Huku kwetu Rappers wengi WA kike hujifanya majike dume, tomboy, wanajifanya wagumu.
Na hata pigo zao ATI wanapiga kiume.
Hapo ndipo nashindwa kuelewa na naomba ufafanuzi Kwa wataalamu katika sekta hiyo. Hiyo inamaana gani?
Hiyo Card B sio Pouwa, hiyo Nick Minaji akijichetua sio pouwa.
Kuna huyo Megan Thee Stallion mtoto mkali kichizi. Sijamtaja Mulato hapa.
Wapo Romantic na mvuto WA kingono.
Huku bongo nini kimetokea?
Nawasubiri
Mbona rappers wa Bongo hujawataja? Halafu uweke na picha kabisa tulinganishe.Kwema Wakuu!
Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja.
Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa.
Wanamapozi ya kike, wanajichetua, wanajibinua kikike. Kiukweli Wanavutia.
Licha ya kuwa wachanaji.
Lakini Huku kwetu Rappers wengi WA kike hujifanya majike dume, tomboy, wanajifanya wagumu.
Na hata pigo zao ATI wanapiga kiume.
Hapo ndipo nashindwa kuelewa na naomba ufafanuzi Kwa wataalamu katika sekta hiyo. Hiyo inamaana gani?
Hiyo Card B sio Pouwa, hiyo Nick Minaji akijichetua sio pouwa.
Kuna huyo Megan Thee Stallion mtoto mkali kichizi. Sijamtaja Mulato hapa.
Wapo Romantic na mvuto WA kingono.
Huku bongo nini kimetokea?
Nawasubiri
Dah!Acha niwaone.
Kwa sababu siwajui.
Kibongobongo kuwa Rapper Ati lazima uwe na Sura ngumu
Hata wachezaji wa Mbele ni wanawake hasa ila kwetu ndo wanajifanya Tom boy na walivyokomaa hatari.Upo sawa mkuu hawa wa kwetu wana sura ngumu haswaa[emoji23]