Hivi ni kwanini Rappers wa kike wa Mbele "mamtoni" wengi ni pisikali halafu huku kwetu Rappers wa kike wanajifanya ni majike dume?

Noma sana

Mambo wanayoyaimba sasa!

They are not sexy to me
They all ain't shit

They look fake as Fu*k
Wapo na negative energy

Hao viumbe labda kama ni masterbation material wanafa.

Mambo wanayoyaimba sasa!
1. Money
2. Teaching other girls to be single wakat wao wanandoa za michongo
3.gold diging
4.$uckn dingaling

Mkuu hao viumbe hawajawahi kunibariki hata

Nataka kujua mentality ya Rapper na utomboy au ujike dume ilisababishwa na nini hapa Bongo
 
Hata mbele rappers wakike walikua na pigo hizo, aliyebadili huo upepo ni Nicki Minaj. From Miss Elliot, Eve nk wote walikua wanajiweka kama masela.

Bongo rappers wakike ukitoa Rosa Ree kuna mwingine hivi sasa? Rosa Ree mwenyewe mrembo tu.

Inabidi mabinti warembo waingie Huko waondoe hiyo mentality
 
Noma sana

Mambo wanayoyaimba sasa!

They are not sexy to me
They all ain't shit

They look fake as Fu*k
Wapo na negative energy

Hao viumbe labda kama ni masterbation material wanafa.

Mambo wanayoyaimba sasa!
1. Money
2. Teaching other girls to be single wakat wao wanandoa za michongo
3.gold diging
4.$uckn dingaling

Mkuu hao viumbe hawajawahi kunibariki
Kwema Wakuu!

Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja,
Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa.

Wanamapozi ya kike, wanajichetua, wanajibinua kikike. Kiukweli Wanavutia.
Licha ya kuwa wachanaji.
Lakini Huku kwetu Rappers wengi WA kike hujifanya majike dume, tomboy, wanajifanya wagumu.
Na hata pigo zao ATI wanapiga kiume.

Hapo ndipo nashindwa kuelewa na naomba ufafanuzi Kwa wataalamu katika sekta hiyo. Hiyo inamaana gani?

Hiyo Card B sio Pouwa, hiyo Nick Minaji akijichetua sio pouwa.
Kuna huyo Megan Thee Stallion mtoto mkali kichizi. Sijamtaja Mulato hapa.

Wapo Romantic na mvuto WA kingono.

Huku bongo nini kimetokea?

Nawasubiri

Nataka kujua mentality ya Rapper na utomboy au ujike dume ilisababishwa na nini hapa Bongo
Hata huko marekani wengi ni hivyo hivyo mkuu.
 
Mimi nahisi kulingana na aina ya uimbaji tu wa hizi nyimbo inabidi kidogo uwe stabon ujue hizi nyimbo zamani zilikuwa Kwa ajir ya mwanaharakati tu ila sema zimeingiliwa kwasababu ya njaa zao tu
 
Harakati Kwa Mwanadamu haziishi Mkuu.
Kila Siku kuna mambo ya kuyapigania
 
Kwema Wakuu!

Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja,
Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa.

Wanamapozi ya kike, wanajichetua, wanajibinua kikike. Kiukweli Wanavutia.
Licha ya kuwa wachanaji.
Lakini Huku kwetu Rappers wengi WA kike hujifanya majike dume, tomboy, wanajifanya wagumu.
Na hata pigo zao ATI wanapiga kiume.

Hapo ndipo nashindwa kuelewa na naomba ufafanuzi Kwa wataalamu katika sekta hiyo. Hiyo inamaana gani?

Hiyo Card B sio Pouwa, hiyo Nick Minaji akijichetua sio pouwa.
Kuna huyo Megan Thee Stallion mtoto mkali kichizi. Sijamtaja Mulato hapa.

Wapo Romantic na mvuto WA kingono.

Huku bongo nini kimetokea?

Nawasubiri
Akina Iggy Azalea, Lil kim, Nick Minaji hatari sana hizo Pisi
 
Wamarekani waliowengi wakike haswa wenye Hela kama hao rappers Huwa wanafanya plastic surgery maumbo na sura zao,endeleeni kuwapenda ni maamuzi yenu,hakuna anaeweza kuingilia uhuru wenu.
 
Kwema Wakuu!

Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja.

Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa.

Wanamapozi ya kike, wanajichetua, wanajibinua kikike. Kiukweli Wanavutia.

Licha ya kuwa wachanaji.

Lakini Huku kwetu Rappers wengi WA kike hujifanya majike dume, tomboy, wanajifanya wagumu.

Na hata pigo zao ATI wanapiga kiume.

Hapo ndipo nashindwa kuelewa na naomba ufafanuzi Kwa wataalamu katika sekta hiyo. Hiyo inamaana gani?

Hiyo Card B sio Pouwa, hiyo Nick Minaji akijichetua sio pouwa.

Kuna huyo Megan Thee Stallion mtoto mkali kichizi. Sijamtaja Mulato hapa.

Wapo Romantic na mvuto WA kingono.

Huku bongo nini kimetokea?

Nawasubiri
Mbona rappers wa Bongo hujawataja? Halafu uweke na picha kabisa tulinganishe.
 
Hivi wewe jamaa unamkumbuka Malkia Rah-P ? She was a phenom! Ooh how I used to like that tomato. Halafu kulikuwa na Dataz naye alikuwa wamoto kichizi.

Hivi wewe jamaa HipHop yenyewe umeanza kusikiliza lini bwanaa ?
 
Megan Thee Stallion-Rapper wa Marekani

images (13).jpeg
 
Bongo swaga za mara wa kike kumaintani boys swagg zimeanza kitambo Tu nikama asili Fulani Hivi
 
Back
Top Bottom