Gololi One
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 576
- 365
Duu hili kweli tatizo
Kuna katabia ka kuitana mkuu i don't like sijui nyinyi wenzangu kitu kidogo "mkuu" mpaka watoto wa kike nao utawasikia "mkuu" Janaume nalo linamuita mtoto wa kike "Mkuu" Cc. nifah
Ni kweli kabisa, Mkuu; haka katabia kanakera sana atii, sasa tufanyeje Mkuu?Kuna katabia ka kuitana mkuu i don't like sijui nyinyi wenzangu kitu kidogo "mkuu" mpaka watoto wa kike nao utawasikia "mkuu" Janaume nalo linamuita mtoto wa kike "Mkuu" Cc. nifah