Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Upo sahihii mkuu, japo mimi napenda kutumia "bwashee" kwa id ninayohisi ni yakiume, madem wa humu siwazingatii maana vijana wanatumia majina na avatar za pisi za kugugo ilhal wao ni wasela
Hiyo "Bwashee" nimekutana nayo miaka kadhaa nyama kule kwa Mbowe, sehemu moja inaitwa "Mkuuanamboo" ikitumika sana na watu wa rika zote hasa kwenye vioski vya mbege. 😂
 
Back
Top Bottom