Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu unaweza kuta ni mwanao wa kumzaa unamwita mkuu! Mimi siku hizi natumia neno ndugu badala ya mkuu ili kuepuka aibu ndogondogo kama hizi.Katika maneno ya kitambo Huma JF nalo Hilo nimiongoni, Ila Kwa namna JF ilivyovyamiwa siku hizi Unaweza jikuta wewe mtu mzima na heshima zako unakapa heshima kitoto cha afu mbili Kwa kukiita mkuu
Ni respect to Mkuu! Ni kama wanasheria wanavyo itana "Msomi".Nimefikiri nikawazua na wala sijapata majibu wakuu hivi kwanini jamii forum tunapenda kuitana mkuu? Na hili neno mkuu limetokana na vp mpaka watu wakaanza kuitana mkuu?
Maana Mkuu, Mkuu, eti mkuu watu hatujuani na tunatumia id's fake lakini bado tunaitana wakuu kwanini mkuu na si jina lingine kama dada, kaka, shangazi au mpwa kama linavyotumika kule X ila ukija huku ni mkuu Why?
Ni kwel mkuu, kuna namna ukisema "acha upumbavu mkuuu" , neno mkuu limepooza neno mpumbavu kwa siri sana mkuu🤣🤣🤣Kwa Ufupi Ni kwamba Jamiiforum Ina watu wa umri tofauti rika Tofauti, Jinsia Tofauti na Wadhifa tofauti..
Ili kuepusha Mwingine Kuhisi Kavunjiwa Heshimu Basi Mkuu Hutumika Ili kuNeutralize Effect ya Salutation..
Ila pia Mkuu inafanya Kuwe Na Heshima Ya Pamoja..
Kuliko Kuitaja Dogo, We fala au Na Mwngine
Huo ndio Utanzaniast. Usituletee mambo yako ya Kwinya mkuuNimefikiri nikawazua na wala sijapata majibu wakuu hivi kwanini jamii forum tunapenda kuitana mkuu? Na hili neno mkuu limetokana na vp mpaka watu wakaanza kuitana mkuu?
Maana Mkuu, Mkuu, eti mkuu watu hatujuani na tunatumia id's fake lakini bado tunaitana wakuu kwanini mkuu na si jina lingine kama dada, kaka, shangazi au mpwa kama linavyotumika kule X ila ukija huku ni mkuu Why?
Upo sahihii mkuu, japo mimi napenda kutumia "bwashee" kwa id ninayohisi ni yakiume, madem wa humu siwazingatii maana vijana wanatumia majina na avatar za pisi za kugugo ilhal wao ni waselaNi kwel mkuu, kuna namna ukisema "acha upumbavu mkuuu" , neno mkuu limepooza neno mpumbavu kwa siri sana mkuu🤣🤣🤣
Inakuwa kama Utani Fulani hivi 🤣🤣🤣🙌🙌Ni kwel mkuu, kuna namna ukisema "acha upumbavu mkuuu" , neno mkuu limepooza neno mpumbavu kwa siri sana mkuu🤣🤣🤣
Ni kweli bwashee .Upo sahihii mkuu, japo mimi napenda kutumia "bwashee" kwa id ninayohisi ni yakiume, madem wa humu siwazingatii maana vijana wanatumia majina na avatar za pisi za kugugo ilhal wao ni wasela
Mkuu umenichekesha mpaka watu wameniona chizi.JF ILIKUWA YA WASOMI NA WANAOTUMIA UBONGO KUFIKIRI,WENGI WAO ENZI HIZO WALIKUWA WAMEAJIRIWA KWENYE VITENGO MBALIMBALI,HIVYO IKAONEKANA NENO "MKUU" LINAFAA KUWAPA SIFA WENYE AJIRA NA WASOMI !
Ila tangu JF ilipovamiwa na kidudu mtu aitwaye GENTAMYCINE imepoteza mvuto,JF imebaki ya Maparang'ang'a !
Ukiwa umeajiriwa ndo unaitwa MKUUJF ILIKUWA YA WASOMI NA WANAOTUMIA UBONGO KUFIKIRI,WENGI WAO ENZI HIZO WALIKUWA WAMEAJIRIWA KWENYE VITENGO MBALIMBALI,HIVYO IKAONEKANA NENO "MKUU" LINAFAA KUWAPA SIFA WENYE AJIRA NA WASOMI !
Ila tangu JF ilipovamiwa na kidudu mtu aitwaye GENTAMYCINE imepoteza mvuto,JF imebaki ya Maparang'ang'a !