Wacha tafsir mbaya wew, hilo Neno liko vzr kabsa na linatumika vzr, kwanza linatumika kumpa heshima yule unayeMtag ama unayemreply ktk thread.
[emoji117] Pili kama walivyosema hao wengine neno mkuu ni mbadala wa majina&identity zisizomuhusu mwana JF kwa ID yake, mfano wewe humu kwa wasiokujua hawawezi kukuita Mjomba, shangazi, mzee baba, dingi, brother, sister, dada, kaka ama vyovyote vile maana hawana uhakika na jinsia yako hivyo watatumia Neno "mkuu'' ambalo ni multipurpose linaitika ktk jinsia zote.
[emoji117] Tatu Neno mkuu linaipa sifa JF kuwa na Utukufu wake wa Members ambao kweli ni great thinkers na kujitofautisha na platforms zingine huko za kijamii ambazo watu huitana kwa majina ya kejeli&utani&dharau, humu wote mnatambulika kama WAKUU yaana hata wale vichwa panzi wasiopenda kutumia akili humu hawabaguliwi bado ni WAKUU kwa maana great thinkers.
Hilo ni jibu langu kwako MKUU ukiona hupendezwi na namna ya huu muito hamia kwa wenzako wa Twetter kule wote wanaharakati.