Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa Mkuu...Neno Mkuu kidogo linaweza kutumiwa kwa jinsia zote mbili maana hizi Id zetu feki ni ngumu kujua Me na Ke... ikiita mtu Mkuu kwa jinsia yoyote ile hawez leta makasiriko
Nimekumiss MdadaIla humu wanaume wengi wameoa,wengi wanamazulia period
Dada mama John zasikuHilo neno la kujidharaulisha hutumiwa na wale wenye asili ya utumwa tu.
Kama neno "naomba" linavyotumiwa na wale waliojazwa ujinga (brainwashed) wa uombaomba aka Watanzania wengi.
Wacha tafsir mbaya wew, hilo Neno liko vzr kabsa na linatumika vzr, kwanza linatumika kumpa heshima yule unayeMtag ama unayemreply ktk thread.Hilo neno la kujidharaulisha hutumiwa na wale wenye asili ya utumwa tu.
Kama neno "naomba" linavyotumiwa na wale waliojazwa ujinga (brainwashed) wa uombaomba aka Watanzania wengi.
Kila mmoja wetu na muono wake, upo huru kwa fikra zako ni. Nami nipo huru kwa fikra zangu.Wacha tafsir mbaya wew, hilo Neno liko vzr kabsa na linatumika vzr, kwanza linatumika kumpa heshima yule unayeMtag ama unayemreply ktk thread.
[emoji117] Pili kama walivyosema hao wengine neno mkuu ni mbadala wa majina&identity zisizomuhusu mwana JF kwa ID yake, mfano wewe humu kwa wasiokujua hawawezi kukuita Mjomba, shangazi, mzee baba, dingi, brother, sister, dada, kaka ama vyovyote vile maana hawana uhakika na jinsia yako hivyo watatumia Neno "mkuu'' ambalo ni multipurpose linaitika ktk jinsia zote.
[emoji117] Tatu Neno mkuu linaipa sifa JF kuwa na Utukufu wake wa Members ambao kweli ni great thinkers na kujitofautisha na platforms zingine huko za kijamii ambazo watu huitana kwa majina ya kejeli&utani&dharau, humu wote mnatambulika kama WAKUU yaana hata wale vichwa panzi wasiopenda kutumia akili humu hawabaguliwi bado ni WAKUU kwa maana great thinkers.
Hilo ni jibu langu kwako MKUU ukiona hupendezwi na namna ya huu muito hamia kwa wenzako wa Twetter kule wote wanaharakati.
Kila mmoja wetu na muono wake, upo huru kwa fikra zako ni. Nami nipo huru kwa fikra zangu.
Wewe endelea na fikra zako ulizojazwa ujinga (brainwashed) za utumwa na uombaomba.
Hunipeleki kwenye ujinga huo, mimi ni muungwana.
Huwa unawaitaje members humu?Kila mmoja wetu na muono wake, upo huru kwa fikra zako ni. Nami nipo huru kwa fikra zangu.
Wewe endelea na fikra zako ulizojazwa ujinga (brainwashed) za utumwa na uombaomba.
Hunipeleki kwenye ujinga huo, mimi ni muungwana.
Tunachojua ww ni mweusi unaependa kuwa mwarabuHilo neno la kujidharaulisha hutumiwa na wale wenye asili ya utumwa tu.
Kama neno "naomba" linavyotumiwa na wale waliojazwa ujinga (brainwashed) wa uombaomba aka Watanzania wengi.
Hayo maneno huleta shida katika tafsiri ya kutoka kiingereza kuwa kiswahili:-Kwako Badala ya neno "mkuu" tutumie "Muungwana"??
Yaani; Muungwana Faizafoxy---??
Mkuu 🙌Mkuu ndugu yangu! Upo kiongozi!
Watizis?Ila humu wanaume wengi wameoa,wengi wanamazulia period
Kurudia sio mbaya sie wengine washamba humu jfLilisha zungumzwa hili!