Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
Kuna katabia ka kuitana mkuu i don't like sijui nyinyi wenzangu kitu kidogo "mkuu" mpaka watoto wa kike nao utawasikia "mkuu" Janaume nalo linamuita mtoto wa kike "Mkuu" Cc. nifah
Bila shaka mmeelewa japo wote mnaonekana kama kasuku kurudia yale yale!
sasa mkuuu tupe mbadala. maana humu ndani ni heshima kwa wote mkuu.
halafu mkuu Ritz siku hizi yuko wapi?
Kuna katabia ka kuitana mkuu i don't like sijui nyinyi wenzangu kitu kidogo "mkuu" mpaka watoto wa kike nao utawasikia "mkuu" Janaume nalo linamuita mtoto wa kike "Mkuu" Cc. nifah
Mkuu umenichekesha sana sitoiacha jf kamwe...Kuna katabia ka kuitana mkuu i don't like sijui nyinyi wenzangu kitu kidogo "mkuu" mpaka watoto wa kike nao utawasikia "mkuu" Janaume nalo linamuita mtoto wa kike "Mkuu" Cc. nifah