Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Kuna katabia ka kuitana mkuu i don't like sijui nyinyi wenzangu kitu kidogo "mkuu" mpaka watoto wa kike nao utawasikia "mkuu" Janaume nalo linamuita mtoto wa kike "Mkuu" Cc. nifah

Ona sasa Mkuu kila mtu anakuita Mkuu...

Halafu Mkuu kama nakufananisha vile....??
 
Bila shaka mmeelewa japo wote mnaonekana kama kasuku kurudia yale yale!
 
Upo sawa kabisa mkuu,vp mkuu Magufuli atajenga kweli viwanda? Au ndo kamba za ccm mkuu?
 
Ukiitwa mkuu unabisha je ukiitwa mkundu utafanyaje
 
Kuna katabia ka kuitana mkuu i don't like sijui nyinyi wenzangu kitu kidogo "mkuu" mpaka watoto wa kike nao utawasikia "mkuu" Janaume nalo linamuita mtoto wa kike "Mkuu" Cc. nifah

Ungetoa jina mbadala mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna katabia ka kuitana mkuu i don't like sijui nyinyi wenzangu kitu kidogo "mkuu" mpaka watoto wa kike nao utawasikia "mkuu" Janaume nalo linamuita mtoto wa kike "Mkuu" Cc. nifah
Mkuu umenichekesha sana sitoiacha jf kamwe...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom