Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Nakushukuru sana mkuu kwa tafsiri hiyo nzuri, kimsingi sio kama sipendi kuitwa mkuu au silipendi neno, ila nilitaka kujua the motive behind, sasa kumbe neno Great ndio linasababisha kila member kua mkuu, nimeelewa! Halijanipwaya mkuu, endelea kuniita Mkuu
 
Reactions: Lee
Ni neno zuri la heshima kwa kwa mtu yeyote especially kama humjui Mkuu
 
Habari Wakuu za mchana...

Hivi kwanini jf tunahitana Wakuu..

Asili ya neno mkuu jf ilianzia wapi?
 
mkuu kama heshima

mkuu kama kifupi cha tusi yaan 0713

kwa hyo inategemea tu unamwambia nani mkuu na content ya post ake
 
Ni kuonyesha heshima kwa muhusika/wahusika katika majadiliano mbali mbali yanayoendelea humu.

Habari Wakuu za mchana...

Hivi kwanini jf tunahitana Wakuu..

Asili ya neno mkuu jf ilianzia wapi?
 
Hili Neno Lilianza Miaka 2011 Hapo Ndo Jamiiforums Najiunga Ilikuwa Hivi Kipindi Hicho Member Wengi Wa Jf Walikuwa Wazee/watu Wazima Na Suala La Kujua Jinsia Ya Mtu Kipindi Hicho Ilikuwa Tabu Sana Mwanaume Hajulikani Na Mwanamke Hajulikani Maana Id Name Za Humu Zilikuwa Za Majina Ya Ukakasi Sana, Sasa Ukazuka Mtindo Wakuitana `dogo` Na Kuoneshana Dharau Basi Hicho Kitendo Kikawakela Wengi Ikabidi Walizungumzie Hilo Swala Kwa Kuanzisha Uzi Ili Kuwe Kuna Lugha Za Staha Kwakuwa Kuna Watu Wazima Humu Wengine Wazazi Wenu Basi Kwenye Uzi Huo Ndo Yakaibuka Maneno Hapo Hapo Watu Wakajibu `ndiyo Mkuu` Pamoja Mkuu `tumekusikia Mkuu` Na Maneno Mengine yakaibuka pia Kama `PAPUCHI` MBUNYE ` DUSHELELE `KITUMBUA` MTALIMBO nk unajua kwanini maneno haya yaliibuka ni kwasababu ya BAN na sheria za jf zilikuwa zinakataza kutoa lugha chafu,kutaja viungo vya mwili nk
 
Ni "term of endearment".

Sent from my Kimulimuli
 
Maelezo yamejitosheleza
 
Naweza kukuita dada kumbe wewe ni ME au vice versa
Hilo neno lina cover wote

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu wengi wa JF wanaendana kiitikadi za kichama, dini na hata kimitizamo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…