Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Mm napendekeza tuitane ,"Ndugu","Mpendwa " au "Comrade" badala ya kuitana "Mkuu".

Sent from my Lenovo A606 using JamiiForums mobile app
 
Hakika Ww Ni Mhenga Wa Jf.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka kuna Uzi humu ulihusu kuitana MKUU na wachangiaji HD kurasa zaidi ya 50. Kama sikosei Ni 2013 au 14.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Habari Wakuu za mchana...

Hivi kwanini jf tunahitana Wakuu..

Asili ya neno mkuu jf ilianzia wapi?
Mkuu wako nani hapa ulomuita?

Acha kugeza usojua vyanzo wala misingi yake,utaita watu mabwana zako,we haya

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
Hivi haya maneno dushele papuchi na mengineyo yapo kweli mtaani au ni humu tu sijawahi yasikia kitaa
 
Mkuu tangu umejifunza kupaka rangi na kuchora mistari imekuwa taabu sana..
 
sawa mkuu ila umeongopa kwa kusema umejiunga JF 2011 wakati umejiunga 2012
 
Nimekuwa nafuatilia sana,kwa hesabu ya haraka haraka hili neno linatajwa zaidi ya mara mia kwa siku kwenye comment na post.....aloyeanzisha hili neno humu alilenga nin,au ni mbadara wa neno lipi hasa humu ndani.waswahili na waelewa na hata wamapovu mwaweza kuja kuniongezea cha kufikiria.

by emma mjasiriamali
 
Very simple Mkuu.
Tunatumia neno "mkuu" sababu hatujuani humu,hatujui nani mkubwa na nani mdogo..hatujui nani mwanamke na nani mwanaume hivyo neno mkuu linafaa kutumika sehemu yeyote.
Nafikiri umenielewa kidogo mkuu

Walianzisha wahenga wa JF wakiwa na mtazamo wa kutunziana heshima kwa members.
Hapo naamini umeelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…