Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Ndio utaratibu wa huku mkuu
 
Very simple Mkuu.
Tunatumia neno "mkuu" sababu hatujuani humu,hatujui nani mkubwa na nani mdogo..hatujui nani mwanamke na nani mwanaume hivyo neno mkuu linafaa kutumika sehemu yeyote.
Nafikiri umenielewa kidogo mkuu
Well explained

by emma mjasiriamali
 

= mbadala

Ni ujinga tu kuitana "mkuu" kama ulivyo ujinga wa kutokuelewa wapi pakutumia R na wapi pakutumia L kwenye maandiko.
 
Mimi huwa siliutumii
 
Member wote wa jf n watumish wa uma

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…