Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Kila mmoja anamwita mwenzake Mkuu.... Ni jina lililokubalika sana kwa bahati mbaya simjui mwanzilishi maana anastahili pongezi.😵😵😵
Ni mkuu fulani ivi ndio alianzisha miaka ya nyuma.
 
Sipendi kuitwa mkuu sipendi sipendi
Majina yooote umekosa kweli si uniite hata baby.
Dume zima unakuta nalo eti "mkuu Eve" aaagrrr
Muitane huko wenyewe mi sitaki
 
Back
Top Bottom