Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Mkuu umeshapata yule mchumba unaemtafuta kwa kutumia mwavuli wa kutafuta rafiki wa kuchat?
 
Sababu hatujuani,
haujui huyu me au ke, wala utambulisho wake wala jina lake ndio maana tunaitana majina ya avatars,au jina lolote lisilovunja Sheria za jf,mkuu,chief,kiongozi,boss, avatar,fake I'd,alien,asiyejulikana NK.
 
Kwani kuna tatizo mkuu? Uzi kama huu ulianzishwa 2013 au 14 wewe umeurudia, kipindi hicho Chris lukosi polisi mstaafu kabla ya umri alikuwa yupo hot sana jf hadi kupata tuhuma za kula....
 
Kwani kuna tatizo mkuu? Uzi kama huu ulianzishwa 2013 au 14 wewe umeurudia, kipindi hicho Chris lukosi polisi mstaafu kabla ya umri alikuwa yupo hot sana jf hadi kupata tuhuma za kula....
2013/2014 bado mdogo sana nasoma sec hata jamii forum sijaisikiapo
Mm nmejikuta tu najiuliza hivi kwa nini naitwa/naita mkuu
Hata uzi wangu wa kwanza kuna mtu alinambia "sasahv ww ni mkuu na kila mtu humu ni mkuu" hivyo yani
 
Sina mkuu na sijawahi kuwa nayo
Mkuu wewe ni mgeni halafu unajua mpaka maana ya ID?!
FB_IMG_1572364112521.jpeg
 
2013/2014 bado mdogo sana nasoma sec hata jamii forum sijaisikiapo
Mm nmejikuta tu najiuliza hivi kwa nini naitwa/naita mkuu
Hata uzi wangu wa kwanza kuna mtu alinambia "sasahv ww ni mkuu na kila mtu humu ni mkuu" hivyo yani
Umeona uzi ushaunganishwa, angalia sasa Uzi orijino ni wa lini
 
Doh!😕 Kumbe kuna kuunganisha uzi
Kwa hiyo uzi wangu naupataje wakuu
 
Utasikia pole sana Mkuu, Mkuu wa nini???, Mkuu wa Mkoa???, Mkuu wa Wilaya???, Mkuu wa Kaya???, Mkuu wa Jeshi???, Mkuu wa nini???
 
Back
Top Bottom