Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hili Neno Lilianza Miaka 2011 Hapo Ndo Jamiiforums Najiunga Ilikuwa Hivi Kipindi Hicho Member Wengi Wa Jf Walikuwa Wazee/watu Wazima Na Suala La Kujua Jinsia Ya Mtu Kipindi Hicho Ilikuwa Tabu Sana Mwanaume Hajulikani Na Mwanamke Hajulikani Maana Id Name Za Humu Zilikuwa Za Majina Ya Ukakasi Sana, Sasa Ukazuka Mtindo Wakuitana `dogo` Na Kuoneshana Dharau Basi Hicho Kitendo Kikawakela Wengi Ikabidi Walizungumzie Hilo Swala Kwa Kuanzisha Uzi Ili Kuwe Kuna Lugha Za Staha Kwakuwa Kuna Watu Wazima Humu Wengine Wazazi Wenu Basi Kwenye Uzi Huo Ndo Yakaibuka Maneno Hapo Hapo Watu Wakajibu `ndiyo Mkuu` Pamoja Mkuu `tumekusikia Mkuu` Na Maneno Mengine yakaibuka pia Kama `PAPUCHI` MBUNYE ` DUSHELELE `KITUMBUA` MTALIMBO nk unajua kwanini maneno haya yaliibuka ni kwasababu ya BAN na sheria za jf zilikuwa zinakataza kutoa lugha chafu,kutaja viungo vya mwili nk
majibu haya yamejitosheleza mnoo tu
 
Kweli mkuu, yamkini Hili ni neno zuri linafaa kuenziwa ndani ya if. Mi nalikubali sana. Sana tu.
mkuu hili neno mimi ndio huwa limenikaa mnoo..nahuwa nalitumia mpaka kwenye. maisha yngu yakawaida ..huwa nalipnda kwa sababu linataswira ya busara na adabu
 
Kwa sababu hatusomi maandiko

Maandiko yanatuambia aliye mkuu ni mmoja tu
 
Back
Top Bottom