Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Yani kwa kweli neno mkuu ni km legal term ndani ya jf inayodumisha kuheshimiana,kuthaminiana, na zaidi ni brand ya hekima na busara ya jamii yetu watanzania.hivyo linapotumika humu huakisi vyote hivyo nilivyovitaja.na ukitaka kumjua mtu ni member wa jf hata kwa msg za kawaida au maongezi yyte hukosi kusikia neno mkuu toka kwake.

Nimelemaa hata mimi . limenikaa sana kichwani
 
"mkuu" ni heshima........katika lugha nyingine unapotaka kuongea na mtu usiomjua unatumia kigezo maalum. kama " mheshimiwa au mkuu" Hpa JF "mkuu" inatumika sana hata katika matusi wapo wanapotumia neno la mkuu
 
Ok . sawa mkuu
 
Back
Top Bottom