Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Unajua nini mkuu, hili neno mkuu, kuitana mkuu humu ni sawa umefupisha kifupi cha Mkubwa kwani wengi wetu hatujuani kwa lolote sasa badala ya kusema....wewe...inabidi tuseme mkuu tu...najua umenipata mkuu...ila mkuu ...jumapili njema mkuu..i salute mkuu...mkuu umetisha...mkuu kumbe na weww umeliona hilo...mkuu very interesting...mkuu lakini uzima upo mkuu...mkuu nakuja inbox...mkuu we acha tu...
 
Back
Top Bottom