Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora Usirudi mkuu,.........................
Ntarudi.
Shaur yenu mimi Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zenuSummary wanaume hawajui watakacho, ni mapopo vigeugeu geuka, wakipewa bila shida wanadai ni umalaya, wakinyimwa wanadai ni ushamba, wakizungushwa wanauliza kwani ke hawanaga hamu, wakiombwa hela wanadai ni ugold digger, wasipoombwa wanadai uko cheap....nakuendelea
Shaur yenu mimi Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zenu
Endelea kufanya uhanarakati wa usawa
Mtanyooka tuu
Mwanaume Sio Sawa na mwanamke
Leo mnakumbuka vitabu vya mungu eeeeh, wanaume wanafiki sanaVitabu vya Mungu vimemfeva sana mwanaume kuliko mwanamke.
Tumekua programmed tangu utotoni kwamba men are more superior and more deserving than women.
Unknowingly, we feel entitled to do wrongs and be tolerated, but a woman is supposed to behave properly at all times. We have been programmed like that.
Laumu vitabu vya Mungu, sio wanaume. kama vitabu vya Mungu vingeandikwa katika maudhui ya usawa basi maisha, na jinsi tunawavyowachukulia wanawake ingekua tofauti.
Kwa vile hatuwezi kubadili maandiko, hata mtoto wa kiume utakaemzaa kesho atakuzwa na mafundisho haya haya tuliyokuzwa nayo sisi na atabehave kama tunavyobehave sisi watu wazima, na hii endless cycle haitaweza kuwa broken.
Kwahiyo nyinyi ni jiwe? Okay tutakutana kwenye nyuzi nyingineMtoa mada uliona wapi NAZI ikashindana na JIWE. Rejea hata maandiko matakatifu kisha uje ufanye editing.
Eeeeeh...Leo mnakumbuka vitabu vya mungu eeeeh, wanaume wanafiki sana