Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Umesema kweli dada
mkuu masweta yaliodariziwa yalioandikwa kwa mbele Tanzania yanauzwa wap?
nataka nimnunulie mchuchu Fulani hivi amazing
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kweli dada
Kwani mimi ndo nina connection na wauzaji?mkuu masweta yaliodariziwa yalioandikwa kwa mbele Tanzania yanauzwa wap?
nataka nimnunulie mchuchu Fulani hivi amazing
Kwani mimi ndo nina connection na wauzaji?
Huwez kuona vaa miwani mzee mama
Njoo hapa Stockholm tule bata
Kama Ata shetani hawaamini..mimi ni nan adi niwaamini[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijasoma wote ila i get your point, ipo hivi kwa ufupi sana tunaishi kwa kutegemeana hasa kwenye kitu ambacho umekizungumzia ndio husababisha lawama nyingi kwenye jamii dhidi ya Jinsia KE, me naamini tupo 50/50.
Marianah huu ndio Ulimwengu.
Ulimwengu wa pande mbili.
Giza na Nuru. Nuru inatawala giza.
Muumba na muumbaji.
Mtawala na mtawaliwa.
Masikini na Tajiri.
Mungu na Shetani.
Mwanaume na Mwanamke.
Mweupe na Mweusi. N.k.
Mwanamke yupo kundi la kutawaliwa. Hata afanye jambo gani zuri mtawaliwa ni mtawaliwa tuu. Atabaki kuwa mtumwa wa Mwanaume.
Utahangaika sana Kupambana na Nature.
Hilo lipo wazi hata kwa Viumbe wengine waliowengi.
Mwanamke akienda porini akikutana na Nyani au Sokwe hawezi kumtisha kwa lolote. Sokwe atamchukulia kama mwanamke tuu. Nyani atakuchukulia kama mwanamke tuu. Na ndivyo ilivyo. Wewe ni mwanamke utabaki kama mwanamke na utachukuliwa kama mwanamke.
Yaani tunaweza kusema. Mwanamke yupo upande dhaifu wakati Mwanaume yupo upande mkuu.
Hata Mungu pamoja ya kuwa hana Jinsia lakini Bado anaitwa Baba. Yaani mwenye nguvu, Mamlaka, Asiyekosea, Mtawala.
Mungu hawezi itwa Mama wala mwanamke kwa kuwa Mwanamke anasifa ya Kutawaliwa, Hana nguvu, anayekosea mara kwa mara, Anayeenda kila mwezi katika unajisi wake n.k.
Mwanamke pamoja na umuhimu wake lakini mpaka dunia inaisha atabaki kuonekana mkosaji siku zote.
Hata huko Ulaya wanapojitahidi kutetea haki zao lakini bado Mwanamke anachukuliwa kama kiumbe duni tuu.
Kuhusu Uovu. Dhambi ni dhambi haijalishi ni nani anaifanya.
Lakini Biblia inamtambua mwanamke kwa namna kadhaa. Moja ya namna hizo ni kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana.
Pia biblia uisemayo inamchukulia Mwanamke kama daraja la chini kabisa.
Moja, Biblia inamtaka mwanamke asihubiri mbele ya wanaume hasa wanaume halisi. Hii ni kutokana na kuwa Mwanaume hapaswi kuisikiliza sauti ya mwanamke bali mwanamke ndiye anapaswa kusikiliza sauti ya mwanaume.
Pili, Mwanamke maumbile yake yanamfinya na kumdunisha awapo kwenye makutano. mfano Biblia inamkataza Mwanamke aliyekatika siku zake kuingia mahali pa ibada. Yaani kanisani au msikitini.
Tatu, Mwanamke mchawi anatakiwa kuuawa. Lakini Biblia imenyamaza kuhusu mwanaume mchawi. Je haikujua kama kuna wanaume wachawi. Jibu ni hapana. Ilijua.
Lakini kwa vile Mwanamke yupo tabaka la chini kwa habari za jinsia ndio maana kawekewa sheria nyingi kuliko mtawala.
Wanaume ndio watawala ndio maana wanaweka sheria wazitakazo na zinazowanufaisha.
Hata Mungu kwa vile ndiye mtawala ndio maana akatuwekea sheria.
Wewe utabaki kulia lia humu lakini huna utakapofika. Ukirudi nyumbani utaosha vyombo, utapika, utafua kama sio zako ni za watoto. Utapangiwa muda wa Kurudi nyumbani. Yaani wewe umetawaliwa.
Kama hujanielewa hutanielewa tena.
Kuabort ni hatari sana sheikhWanaume kila uchwao mnafungwa kwa kulawiti, kubaka na kuua watoto.
Mnawatoa mimba mlowamimba,mnawakimbia watoto wenu baada ya kumimba huko, nk nk nk nk
Huwa nasema kuwa ukweli utabaki kuwa ukweli tu, utapingwa, utafichwa sana lakini ndio ukweli na uhalisia ulivyo. Kuna watu n wagumu sana kuukubali ukweli hasa sisi wanaume, tutabisha, tutakataa kwa maneno hadharani lakin ndan kwa ndani unakubali na unajua fika uliosemwa n ukweli.Yaani wanaume wangekuwa waelewa kama uelewa wako kwa hii mada mbona maisha yangekwenda smooth sana
Umesahau wanaume wanakufa vitani, kwenye mashimo ya migodi. Sisi ndio wanaume. Mtuache tu jamani.Wanaume kila uchwao mnafungwa kwa kulawiti, kubaka na kuua watoto.
Mnawatoa mimba mlowamimba,mnawakimbia watoto wenu baada ya kumimba huko, nk nk nk nk
sio wanyama wote chief.
Sijasoma wote ila i get your point, ipo hivi kwa ufupi sana tunaishi kwa kutegemeana hasa kwenye kitu ambacho umekizungumzia ndio husababisha lawama nyingi kwenye jamii dhidi ya Jinsia KE, me naamini tupo 50/50.
Wewe ulishawahi kumuona huyo mungu au vile viliandikwa na wanaume Kwa hisia mkajipendelea, acheni kujificha kwenye maandiko ili kukandamiza wanawake, eti mlaumu Mungu mxiiiiiew, ndio maana ili udumu na mwanamke lazima umuonee mwanamke, mabadiliko ya sasa ya wanawake kuwa huru mnabaki kulia lia umagharibi, I'm happy wanawake sasa tuna raise against all forms of discrimination na years to come tuta rule the world na nyie muanze kulia lia tu.Vitabu vya Mungu vimemfeva sana mwanaume kuliko mwanamke.
Tumekua programmed tangu utotoni kwamba men are more superior and more deserving than women.
Unknowingly, we feel entitled to do wrongs and be tolerated, but a woman is supposed to behave properly at all times. We have been programmed like that.
Laumu vitabu vya Mungu, sio wanaume. kama vitabu vya Mungu vingeandikwa katika maudhui ya usawa basi maisha, na jinsi tunawavyowachukulia wanawake ingekua tofauti.
Kwa vile hatuwezi kubadili maandiko, hata mtoto wa kiume utakaemzaa kesho atakuzwa na mafundisho haya haya tuliyokuzwa nayo sisi na atabehave kama tunavyobehave sisi watu wazima, na hii endless cycle haitaweza kuwa broken.
Kwa bahati mbaya mimi sio msomaji mzuri wa Biblia ila nisikupinge mtazamo wako kwa upande wako upo sahihi pia mkuu.Sio vibaya kuamini hivyo Mkuu.
Ila uhalisia ni kuwa hatupo 50/50.
Duniani kuna mtawala na mtawaliwa.
Mtawala ndiye anaweka sheria alafu mtawaliwa ndiye anazifuata. Ukilijua hili utaelewa maisha ni nini.
Mwanamke ni mtawaliwa tokea siku ya kwanza anaumbwa na Mungu. Kulingana na Biblia.