Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
- Thread starter
- #81
The most lame argument I've come across today badala ya kuongea hizi pumba nadhani ungekuja na andiko linalowaruhusu wanaume kutenda dhambi na linalosema kuwa dhambi zenu ni tofauti na za wanawakeKama ingekuwa tunaendana na tupo sawa basi pele lingekua limempata mkunaji..
Mnasema hamna cha kupoteza eti niiiiniiiiiii ??? Iyo kitu ikishakuwa ndala utajiringanisha na ya binti wa miaka 18 hebu shika adabu yako...
Kimsingi nyie ndio mnaongoza kwa kulalamika na kuongea sana kuhusu wanaume..hebu fikiria kuna taasisi ngapi mmeanzisha kwa ajili ya kuwatetea wanawake ?????na za wanaume zipo ngapi ???
Tena mkafika mbali eti mnataka haki sawa yani 50/50 tukasema hakuna shida akija kaka jambazi huko nnje anza kutoka wewe mkasema ooihh haki sawa hatukumaanishi hivyo...
Dhambi zetu haziwezi kuwa sawa hata kidogo wewe unatia sisi tunatia mwanaume anaweza kuwapa mimba wanawake 10 ndani ya mwaka mmoja je wewe kama mwanamke peke yako unaweza kushika mimba 10 ndani ya mwaka mmoja..
Tunapoamua kuwa wanaume nyie wanawake inatakiwa mshinde jikoni ata hivyo mshukuru tumewahurumia sana..
Njoo pm baby tuongezee zaidi