Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
MnoooooUmeona eenh??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MnoooooUmeona eenh??
Kushindwa kuyatafakari na kuyaelewa maandiko vzur n dhahiri kuwa yatakupoteza kabisa, mimi ni mwanaume ila nmeona madhara ya manyanyaso kwa wanawake maana sio kwa wao tu hata kwa watoto inawaathiri sana ila wengi hawalioni hili, mwanaume sio kuwa hivi kama mwanamke wako hakuheshim kwa kumfanyia mema unadhani atakuheshim ukimfanyia mabaya? Wanawake wanateseka sana na waliowahi kupitia hali hizi watakubaliana na mimi.Eti kisa maandiko yamesema wao ni kichwa wafanye mauchafu eti wanawake wavumilie wao wakikosa wasamehewe hii jamii yetu bado inaishi zama za dark ages kila mtu anahtaji kutendewa sawa na usicho penda kutendewa wewe basi isimutendee mwenzako. Kuna watu wanantanyasika na hivi wenye uelewa mdogo wasio weza kutafakari maandiko ndo wanakuwa hawajielewi ka nyumbu. Napinga uonevu wowote Kwa binadamu yoyote hasa mwanamke, though kuna wanaume wanaoheshimu wanawake ka babangu na wengine matured nawapa sana kongole.
Yaani umeshindwa kuielewa mada basi hata kukielewa kichwa cha mada??""eti wanaume hatuna cha ziada kuwashinda""
nimekunukuu hapo juu hizi sasa ni dharau hata hivyo kosa sio lenu tumewaachia uhuru Sana mpaka mnatuona tuko sawa
nyie dawa yenu ilikuwa kushinda jikoni kukaa nyumbani kutokwenda shule kuzaa na kulea basi kama walivyofanya mababu zetu
nikujibu tu uzi wako kwamba ulioandika ni kazi bure tumeumbwa kuwa dominator, viongozi, daraja la juu kuliko nyie vitu Kama hivyo kuonekana kweny jamii wala usi judge we
mwenyewe umekubali tunaishi mfumo dume hayo maswali mengi ya nini? tubadilike ama? tuwe Kama nyie tukae jikoni
Mkuu huyu aliongea tu kutetea chama lakini siyo kweli wanawake wanawazidi wanaume kwenye nyanja hizo...
Tukifika mwanamke azae kwa uchungu mwanaume atafute kwa jasho maandiko hayahusikiwewe na mimi ni zao la maandiko.
Wewe jana ulikuwa wa kwanza kupingana na maandikoNyie mmezidi kwa unafik
NdiwoooEeeeeh...
Mungu unaemuabudu umemjulia kupitia biblia hii hii ambayo inawafeva wanaume. unajua mda mwingine tukubali facts, haina haja ya kubishana.Sasa hyo ni out of my argument. Kumwabudu Mungu haiwezi kuhalalisha uonevu, I think people hawajaelewa vzuri maandiko na sasa kujificha kwenye kichaka cha Mungu. Some issues need to use common sense.
Kushindwa kuyatafakari na kuyaelewa maandiko vzur n dhahiri kuwa yatakupoteza kabisa, mimi ni mwanaume ila nmeona madhara ya manyanyaso kwa wanawake maana sio kwa wao tu hata kwa watoto inawaathiri sana ila wengi hawalioni hili, mwanaume sio kuwa hivi kama mwanamke wako hakuheshim kwa kumfanyia mema unadhani atakuheshim ukimfanyia mabaya? Wanawake wanateseka sana na waliowahi kupitia hali hizi watakubaliana na mimi.
Me too my dear glad to see ur comments today.
Mbona wewe kamongo hukuja na bandiko linalosema dhambi za wanawake ni tofauti na dhambi za wanaume...The most lame argument I've come across today badala ya kuongea hizi pumba nadhani ungekuja na andiko linalowaruhusu wanaume kutenda dhambi na linalosema kuwa dhambi zenu ni tofauti na za wanawake
kivipi? mmeacha kuzaa kwa uchungu?Tukifika mwanamke azae kwa uchungu mwanaume atafute kwa jasho maandiko hayahusiki
Mungu unaemuabudu umemjulia kupitia biblia hii hii ambayo inawafeva wanaume. unajua mda mwingine tukubali facts, haina haja ya kubishana.View attachment 1208094View attachment 1208095View attachment 1208096
Marianah huu ndio Ulimwengu.
Ulimwengu wa pande mbili.
Giza na Nuru. Nuru inatawala giza.
Muumba na muumbaji.
Mtawala na mtawaliwa.
Masikini na Tajiri.
Mungu na Shetani.
Mwanaume na Mwanamke.
Mweupe na Mweusi. N.k.
Mwanamke yupo kundi la kutawaliwa. Hata afanye jambo gani zuri mtawaliwa ni mtawaliwa tuu. Atabaki kuwa mtumwa wa Mwanaume.
Utahangaika sana Kupambana na Nature.
Hilo lipo wazi hata kwa Viumbe wengine waliowengi.
Mwanamke akienda porini akikutana na Nyani au Sokwe hawezi kumtisha kwa lolote. Sokwe atamchukulia kama mwanamke tuu. Nyani atakuchukulia kama mwanamke tuu. Na ndivyo ilivyo. Wewe ni mwanamke utabaki kama mwanamke na utachukuliwa kama mwanamke.
Yaani tunaweza kusema. Mwanamke yupo upande dhaifu wakati Mwanaume yupo upande mkuu.
Hata Mungu pamoja ya kuwa hana Jinsia lakini Bado anaitwa Baba. Yaani mwenye nguvu, Mamlaka, Asiyekosea, Mtawala.
Mungu hawezi itwa Mama wala mwanamke kwa kuwa Mwanamke anasifa ya Kutawaliwa, Hana nguvu, anayekosea mara kwa mara, Anayeenda kila mwezi katika unajisi wake n.k.
Mwanamke pamoja na umuhimu wake lakini mpaka dunia inaisha atabaki kuonekana mkosaji siku zote.
Hata huko Ulaya wanapojitahidi kutetea haki zao lakini bado Mwanamke anachukuliwa kama kiumbe duni tuu.
Kuhusu Uovu. Dhambi ni dhambi haijalishi ni nani anaifanya.
Lakini Biblia inamtambua mwanamke kwa namna kadhaa. Moja ya namna hizo ni kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana.
Pia biblia uisemayo inamchukulia Mwanamke kama daraja la chini kabisa.
Moja, Biblia inamtaka mwanamke asihubiri mbele ya wanaume hasa wanaume halisi. Hii ni kutokana na kuwa Mwanaume hapaswi kuisikiliza sauti ya mwanamke bali mwanamke ndiye anapaswa kusikiliza sauti ya mwanaume.
Pili, Mwanamke maumbile yake yanamfinya na kumdunisha awapo kwenye makutano. mfano Biblia inamkataza Mwanamke aliyekatika siku zake kuingia mahali pa ibada. Yaani kanisani au msikitini.
Tatu, Mwanamke mchawi anatakiwa kuuawa. Lakini Biblia imenyamaza kuhusu mwanaume mchawi. Je haikujua kama kuna wanaume wachawi. Jibu ni hapana. Ilijua.
Lakini kwa vile Mwanamke yupo tabaka la chini kwa habari za jinsia ndio maana kawekewa sheria nyingi kuliko mtawala.
Wanaume ndio watawala ndio maana wanaweka sheria wazitakazo na zinazowanufaisha.
Hata Mungu kwa vile ndiye mtawala ndio maana akatuwekea sheria.
Wewe utabaki kulia lia humu lakini huna utakapofika. Ukirudi nyumbani utaosha vyombo, utapika, utafua kama sio zako ni za watoto. Utapangiwa muda wa Kurudi nyumbani. Yaani wewe umetawaliwa.
Kama hujanielewa hutanielewa tena.
Nasema tena acheni kutumia maandiko vibaya we are living in a liberal world some customs za zamani no longer relevant in 21 century hasa mambo ya uonevu. So acha kutumia maandiko vibaya aiseee
Hahaaa hapana aisee ni watu wawili tofauti though tunaweza tukawa tuna share some ideologies aisee. Though I like her arguments