Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Unamtawala ili iweje hujiamimi ur manhood ndo maana. Staki kutawaliwa na mtu najitawala mwenyewe na halmashauri ya kichwa changu. Sihitaji wakunikamilisha naji mudu mwenyewe
Mwanaume goigoi ndo atakufaa wewe mana piga ua huwezi kujipa mimba.
 
Natutazidi sana kujiimarisha kila idara ndo tumeanza sasa mpaka tutafika juu kukomesha aina zote za discrimination. Lazima tuvuke targets zetu
Basi hongereni na kila lenye heri kufanikisha hilo, lakini ngoja nikuulize yafuatayo.

Kama kweli nyie mko vizuri kiuchumi kuliko wanaume na mzidi kujiimarisha ni kwanini sana kwenye ndoa nyingi mwanaume akiyumba kiuchumi basi hata ndoa yenyewe inayumba?

-Ni kwanini aslimia kubwa ya wazazi waliotelekezewa watoto wanaopelekaga malalamiko kwa RC ni wanawake tu wakati hata wanaume pia wapo wanaotelekezewa watoto?

-Ni kwanini kuiangalia top ten ya matajiri bongo hapa hakuna mwanamke hata mmoja?
-Kwanini nyie mabinti hili uweze kunikubalia mimi niwe bwana yako lazima niwe nakuzidi kipato ilihali nyie sasa hivi ndio mnatuzidi vipato?

Je wewe unaona bado kuna discrimination gani iliyobaki wakati tayari target zenu za kuwa na uhuru hasa kiuchumi mmeshazifikia mpaka mnatuzidi na sisi wanaume?
 
Chupi tu kutengeneza kumewashinda hafu mwaji proud wanaume mfyuuuuu zenu. Mje na hoja za msingi tafadhali
Mkuu nimeshakuhasa kuwajaji watu usiowajua vizuri kwa maana siyo busara. Unajuaje hatuwezi kutengeneza chupi?
 
Reactions: Cyb
🤣🤣🤣 hiii, hizi lawama na kejeli wanawake zinawapaga relief maradufu
 
Ndio nime majadiliano ya hoja nyie mumeshindwa kutetea hoja mnamsingizia Mungu wakati binadamu mumepewa utashi tofauti na viumbe wengine
Hili nalo tatizo lingine. Mwanaume anapokinzana na mwanamke mnamuona anafanya mashindano. Nilifikiri haya ni majadiliano tu na siyo vita ya kijinsia...
 
Sawa kwahiyo wanaume mmeruhusiwa na Mungu kutenda maovu?? Mimi naomba kwa sasa unijibu hilo tu hayo mengine yote nayajua na hata uyaongee mara ngapi nitakuuliza swali hili hili!!
 
Shaur yenu mimi Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zenu

Endelea kufanya uhanarakati wa usawa
Mtanyooka tuu

Mwanaume Sio Sawa na mwanamke
Aisee hongera. Kwa Denmark na nchi za Scandinavia zilivyo kwa ujumla kuhusu uanaharakati wa haki za wanawake, wewe kama ni me utakuwa padre na kama ni ke utakuwa sister hivi karibuni. Maana huko hakuna chombeza chombeza za hovyo. Ukicheza tu kidogo ni jela au kupandishwa ndege kurudi.
 

Mkuu usiwape kiburi [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…