cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
MhhhhhhhhNakuzingua mrembo,mimi nipo humu ila wewe ndio uliadimika aisee,nimekuafuta sana lakini wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MhhhhhhhhNakuzingua mrembo,mimi nipo humu ila wewe ndio uliadimika aisee,nimekuafuta sana lakini wapi.
Mwanaume goigoi ndo atakufaa wewe mana piga ua huwezi kujipa mimba.Unamtawala ili iweje hujiamimi ur manhood ndo maana. Staki kutawaliwa na mtu najitawala mwenyewe na halmashauri ya kichwa changu. Sihitaji wakunikamilisha naji mudu mwenyewe
Hahaha!! Huyu sidhani kama atakubali kushea..Huyu nilitaka awe mke wangu wa nne,lakini akanikataa,sasa leo nimemuona nikasema nimsalimie.
Leo mnakumbuka vitabu vya mungu eeeeh, wanaume wanafiki sana
Watu wananifananisha na wewe aisee, sema sikuhizi mvivu wa Ku comment humuThank You
Basi hongereni na kila lenye heri kufanikisha hilo, lakini ngoja nikuulize yafuatayo.Natutazidi sana kujiimarisha kila idara ndo tumeanza sasa mpaka tutafika juu kukomesha aina zote za discrimination. Lazima tuvuke targets zetu
Hawa huwa tunawazoesha kusikia kwanza,wakishazoea tunakuja kuwabananisha tu,rahisi sana,hutakiwi kuwa na haraka nao.Hahaha!! Huyu sidhani kama atakubali kushea..
Mkuu nimeshakuhasa kuwajaji watu usiowajua vizuri kwa maana siyo busara. Unajuaje hatuwezi kutengeneza chupi?Chupi tu kutengeneza kumewashinda hafu mwaji proud wanaume mfyuuuuu zenu. Mje na hoja za msingi tafadhali
Mwanaume goigoi ndo atakufaa wewe mana piga ua huwezi kujipa mimba.
Mamii wanaume ni dhaifu sana, maumivu yao hupoa kwa muda mrefu sana hivyo kwa kusema madhaifu yetu kunawapa a certain releaf.
Kwa upande wa kujisifia kwa kufanya maovu na kujiona ni sahihi kwao kufanya hivyo basi husababishwa na malezi mabovu, maumivu ya muda ambayo hayajapoa, kujipa moyo, kukosa hofu ya Mungu, kukosa utashi, kukosa utu, kuwa na uchumi mbovu(hivyo faraja pekee ni maovu hayo) lakini pia ni kukosa akili.
Hili nalo tatizo lingine. Mwanaume anapokinzana na mwanamke mnamuona anafanya mashindano. Nilifikiri haya ni majadiliano tu na siyo vita ya kijinsia...
Hapo sawa shehe...Hawa huwa tunawazoesha kusikia kwanza,wakishazoea tunakuja kuwabananisha tu,rahisi sana,hutakiwi kuwa na haraka nao.
Mkuu hivyo ndivyo ilivyo hata ukikataa.
Walioandika hiyo Biblia ni Wanaume.
Walioandika hiyo Quran ni wanaume.
walioandika vitabu vya dini karibu zote duniani ni wanaume. Hao Budha, Hindu, Shinto, Voodoo, Bahaula, N.k. wote ni wanaume.
Huyo Mungu unayemsema anatambulika kama amebeba dhima ya Kiume. Amependelea wanaume zaidi.
Sipo Biased ila najaribu kuelezea uhalisia.
Mwanaume ndiye mtawala wakati mwanamke ni mtawaliwa.
Mtawala ndiye mtungaji wa Sheria hata katika jamii zisizo na dini zenye asili ya Abrahamu.
mtawala ndiye anaamua nini kiwe nini kisiwe akisaidiwa na Nature ambayo ndiyo watu huita Mungu.
Hiyo ni kwa habari ya Jinsia.
Kwa habari ya Rangi. Mtawala ni rangi nyeupe. Yaani wazungu kwa jamii zao.
Hao ndio hutunga sheria na hata mipaka ya nchi zetu wao ndio waliipanga na kuichora.
Wazungu huko kwao sio kwamba hawana mambo ya ajabu. Sio kwamba hawauani. Wanauana tena sana lakini kwa nini wao dunia iwapondi sana. Jibu ni moja ni kwa sababu wao ni watawala.
Lakini Muafrika akifanya uovu kidogo utaona watu wakitukana. Mara waafrika wajinga, mara waafrika ni makatili. Lakini yote ni kwa sababu Waafrika ni tabaka tawaliwa.
Mtawala hapewi lawama sana ukilinganisha na mtawaliwa.
Kama hujanielewa.
Mfano Mungu na Shetani.
Mungu ni mtawala. Yeye ndiye anaweka sheria kwa vile ni mtawala. Mungu hata akiadhibu dunia na kuiletea majanga lakini Bado watu watamsifia au kama ni kukosoa watakosoa kidogo.
Lakini shetani ambaye ni mtawaliwa hata akiua mtu mmoja utasikia watu wakimlaani sana.
Ndivyo hata kwa habari ya mwanamke na mwanaume.
Mwanaume hata akifanya umalaya huwezi sikia watu wakimtukana na kumkejeli. Hii ni kutokana yeye ni mtawala.
Lakini mwanamke fanya kidogo yaani usizini bali mkumbatie tuu hata mwanaume mbele za watu uone watu wayakavyokushukia. Watakutukana na kukupa maneno ya kejeli. Hii ni kutokana mwanamke ni Mtawaliwa.
Mtawaliwa hata afanye kizuri vipi hawezi kusifiwa. Mtawaliwa ni mtu wa kulaumiwa siku zote.
Ndio maisha hayo Marianah. Utahangaika lakini hakuna atakayekusaidia. Hata huyo Mungu hanaatakachofanya kwenye hayo malalamiko yako. Kwani yeye ndiye aliyeweka mambo yaende hivyo.
Zaidi ya yote. Tuishi kwa kupendana iwe ni tabaka tawala au Tawaliwa. Iwe ni Simba au Swala.
Kalagabaho
Aisee hongera. Kwa Denmark na nchi za Scandinavia zilivyo kwa ujumla kuhusu uanaharakati wa haki za wanawake, wewe kama ni me utakuwa padre na kama ni ke utakuwa sister hivi karibuni. Maana huko hakuna chombeza chombeza za hovyo. Ukicheza tu kidogo ni jela au kupandishwa ndege kurudi.Shaur yenu mimi Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zenu
Endelea kufanya uhanarakati wa usawa
Mtanyooka tuu
Mwanaume Sio Sawa na mwanamke
Maandiko yapo very clear, hayajamruhusu binadamu yeyote kutenda dhambi (si mwanaume wala mwanamke)
Maandiko hayo hayo unayosema wanaume "wameyatumia vibaya" yapo straight forward mwenye kustawisha familia ni mwanamke (mithali inasema:mwanamke mpumbavu ataivunja nyumba yake kwa mikono yake)
Kama Mungu angetaka tuwe sawa sawa,tungeona katika maandiko wanawake wakiishi na wanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja kama ilivyo kwa wanaume,(kwa imani zote unakuta mwanaume mmoja ana wanawake watatu wanne na kuendelea,na wote wanaishi pamoja pasipo tatizo kabisa)
Sasa fanya utafiti wako wako kwa kadri unavyoweza,ulete marejeo yanayokupa usawa katika mahusiano?HAKUNA!
Na ndiyo maana muoaji analazimika kuleta mahari kwa mwanamke,unajua ni kwa nini? Umewahi kujiuliza utamaduni huu una msingi gani?
Mwanamke anapokuwa cheap sana,thamani yake inashuka sana,na wanaume wakimtaka mwanamke kingono bila mafanikio,wengi wao humuheshimu zaidi mwanamke huyo na kuanza kumpigania ili wamuoe (thamani ya mwanamke iko mikononi mwake mwenyewe)