mark girland
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,026
- 756
Mkuu labda hukunielewa vizuri. Mimi binafsi siyo mfuasi wa hivyo vinavyoitwa vitabu vitakatifu. Kwa lugha nyingine nipo pamoja na suala la usawa wa kijinsia hususani katika mlengo wa utu . kitu nilichopingana na wewe ni katika suala la ufanisi katika mambo mbalimbali kati ya mwanaume na mwanamke. Ni dhahiri mwanaume ni bora kiufaninisi katika nyanja nyingi za maisha lakini hiyo haimpi haki kumnyanyasa mwanamke na hapo nakuwa nimeungana na wewe...Ndio nime majadiliano ya hoja nyie mumeshindwa kutetea hoja mnamsingizia Mungu wakati binadamu mumepewa utashi tofauti na viumbe wengine
Suala la dhambi hili ni baya kwetu sote,haliangalii nani wala nani.Wanasingizia eti maumbile yanawafavour sasa mbona na magonjwa ya zinaa nayo hayawafavour wote yanawaua kama yanavyowaua wanawake tu??
Namjua...Huyu namfahamu vyema,wewe subiri uone.
Natamani haya unayoyaandika kwenye comments uyaanzishie thread kabisa ili kila mtu ayaone maana hapa najua kuna watu hawayaoni hivyo watakosa kuujua huu ukweli
Hivi ilikuwaje mpaka wanawake wakaanza kujiuza ?Kuna biashara yoyote inayofanikiwa bila kuwa na wanunuzi?
Mnavyoonekana kukerwa na wanawake wanaojiuza nilitegemea kwa pamoja muungane mpinge kununua lakini sio mnanunua baadae mnakuja kuhubiri dhambi zetu.
ha ha ha utakuwa ni mtazamo wako tu mkuuWanaume wengi wenye wanawake wengi wana upungufu wa nguvu za kiume ingawa mnahangaika ka bisi kikaangoni. Na ndio maana wanawake huwa tunawafanyia matukio kimya kimya hamjui tu
Nyenyere atakuja kumpingaBora wewe umekuwa mwazi
Wewe subiri uone.Namjua...
Na huwezi kumuonea km unavyonionea mimi
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]hakika wanawake ni jeshi kubwa nilitaka nimkazanie hapo ila nikaona nimuache maana comment yangu ingekuwa ndefu lakini asante umenisaidia na hata mimi nasubiri jibu lake hapoHapo kwenye Eva kumpindua Adam ili awe kama Mungu,, ushahidi wako nausubiri hapa
Walikosa pia kukimbilia ndoa nikutokujiamini kabisa pia uoga wa maisha huo. Yani mke wa nne kah si bora kuwa single. Niwaachie wenyewe na imani zaoHujakosa.
Nani amekwambia hao walio olewa mitala/matala wamekosa wanaume ?
Wale wanaovaa suruali fupi..Huyu shekhe wa Bakwata au?
Haya tutaona.Wewe subiri uone.
Hahaaaaaa hatari sana hao suruali fupi ni wapi?Wale wanaovaa suruali fupi..
Ndo mana nakwambiaje, ni mfumo uliwekwa kupitia vitabu vya Mungu jinsi ya mwanamke na mwanaume wanavyotakiwa kubehave kwenye jamii.
Huo mfumo unaotaka wewe uwepo inabidi uwekewe utaratibu wake ili usije ukakinzana na mafunzo ya kwenye dini.
kwa sababu mtoto wako wa kiume akipelekwa mafundisho atafundishwa misimamo ya kibiblia kuhusu wanawake na wanaume katika jamii.
akirudi mtaani na akienda shuleni anakutana na misingi mipya ya iliyowekwa na utandawazi.
akikaribia kuoa, mama mzazi anampa lisala kuhusu wanawake. yani mama mzazi anaogopa mtoto wake wa kiume asipelekeshwe na mke wake na anataka ahakikishe mtoto wake wa kiume ana uwezo wa kumtawala mke wake.
mwanamke huyo huyo anaelilia usawa, ndo huyohuyo anaemnong'oneza mtoto wake wa kiume asipelekeshwe na mke wake. Na akijua mtoto wake anatawaliwa, atavuruga tu hio ndoa.
Cariha rafki angu haya mambo yanakinzana sana.
Zurri Soma hapa..Walikosa pia kukimbilia ndoa nikutokujiamini kabisa pia uoga wa maisha huo. Yani mke wa nne kah si bora kuwa single. Niwaachie wenyewe na imani zao
ha ha ha utakuwa ni mtazamo wako tu mkuu
Usamehewe wewe,acha kujipendekeza kwa huyo bintiYou could have been a very good company to her.
Mtuvumilie tu, maisha yamebadilika katika kiasi ambacho hatukuwa tumejipanga nacho, we relaxed thinking kwamba we will always be on top.
Shule, utandawazi umeleta mabadiliko ambayo hatukuyategemea, so linapokuja swala la kukutana na wanawake ambao ni argumentative, cash self independent, brain na reasoning tunajikuta Thrones zinakuwa hatarini.
Kinachobaki kinafanyika, tunafanya personal attack, character assassination na abuses kuraise esteem yetu. Na hii ni kwa sababu tumeshindwa kupambana katika level hitajika.
Mtusamehe bure.
Bora wewe umekuwa mwazi
Kwanza hujapinga swali langu.Walikosa pia kukimbilia ndoa nikutokujiamini kabisa pia uoga wa maisha huo. Yani mke wa nne kah si bora kuwa single. Niwaachie wenyewe na imani zao