Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Yaani Ni wabishi Sana.
Ila huyu Marianah huwa hachoki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
 
Hahaha!! Kwahiyo nyie wengine ni supa sub siyo??
 
Wanaume kujifananisha na suleiman wananichekeshaga kweli

Unakuta mtu anasema mfalme Suleiman wakati hata baiskeli hana, nguvu za kiume za kudunduliza, hekima hana wawe wanajitolea mifano wanayofanania lakini vinginevyo tutawacheka sana tu
 
Nimejibu point yako nikakwambia kuna vtu huwezi kujiona bora au kuhukumu nikakupa mfano wa fish. So hzo zote ni perception ya mtu anayoona that's why nikasema kwangu me na ke tofauti ni maumbile tu basi aisee
 
kuna yule kicheche kwenye maandiko anaitwa Maria , Maria alikua malaya hiv ulishawai kujua jina la bwana yake waliokua wanazini pamoja?
Mkuu kauli kama hii inaweza kukupa sifa hapa jukwaan lakin ukalaaniwa kuanzia we pamoja na uzao wako! tulete sifa za kibinadamu tuache kufuluu!!
 
Toa mfano,acha uoga.

Pili,kuwa mama unabaguliwa vipi na unasumbuliwa vipi ? Hujui kama suala la wewe kuwa mama ni jambo ambalo liko nje ya uwezi wetu sisi binadamu ?
Uonevu wowote Kwa mwanamke kwangu ni marufuku na sisi tunataka kuwa huru sio nyie kujiona mnauhuru Kwa kuhangaika sisi tukitafta wakuturidhisha mtuonee never on earth
 
Nikiri kuwa numeishia namba 10 huko kwingine sijasoma. Naomba nikuulize swali Marianah
Wewe uko kundi gani kati ya hayo uliyotaja ( 1 had 10) ?
 
Hahahaha masikini kwahiyo wewe kwa akili yako Mungu anavyowaacha wanadamu wafanye maovu unadhani karidhika?? Ukisema hivyo basi unamaanisha pia hata wanawake Mungu karidhika na maovu yao maana wapo makahaba wanaobarikiwa na wapo single mothers wanaobarikiwa sasa ninyi wanaume ni kina nani hata mshupalie maovu yao??

Na ninyi endeleeni kupiga kelele kuhusu maovu ya wanawake tuone kama mtafanikiwa hasa kama wewe ulivyoshupalia kuhusu maswala ya bikira nakuapia siku jamii ikibadilika wanawake wote wakianza kujitunza na kuolewa wakiwa na bikira basi nitafute nikujengee nyumba nikununulie na magari ila tofauti na hapo wote tukae kimya tu kila jinsia iendelee na maisha yake
 
Hyo kuwa mabilionea wawili haina justification ya uonevu au kuonyesha a certain gender is superior ni big no usawa unaangaliwa Kwa equal chance ya kijamii.
Hata mimi sijawataja hao mabilionea kama justification ya gender inequality kwa namna yoyote ile. Hujaelewa kabisa point yangu
Kuhusu pedi inayofonza damu mbona haihitaji akili ya la saba kutengeneza wengi tu wanatengeneza Mimi pia I can tena hizo sio recommended for health purpose bora kitambaa kisafi au kutengeza cotton ambayo hapa Kwa Tanzania haiko Kwa wingi
Again hujaelewa tena point yangu ililenga nini, inventor wa sanitary pad anaitwa Franklin Benjamin(Mwanaume) alikuja na idea ya ktengeneza pad mwaka 1888 hili kuwasidia wanajeshi wa kike waliokuwa wana bleed kwenye uwanja wa kivita na kuacha alama za damu damu ambazo zilikuwa zinawasaidia maadui kutambua ulekeo wa wanajeshi hao. Kwa baadae ndio ikawa commercialized globally sasa mimi hapa nilikuwa na kucrush uliposema kuwa mwanamke na mwanaume ni sawa tu tofauti yetu ni jinsia, mwanaume ana mchango mkubwa kwenye maisha yako na wala haulingani naye hata kidogo
.Kuhusu ugunduzi wa mambo mengi nayo hyo hoja haina mashiko maana tangu zamani wanawake hawakuruhusiwa kufanya mengi au kwenda shule so hyo haishangazi au kufanya eti mwanaume ndo wako ahead
kwanini hawakwenda shule!? Na kwanini wasiruhusiwe kufanya hayo mengi ikiwa kama hata wao walijua yana umuhimu kwao!? Pamoja na kwamba siku hizi na nyie mko kwenye scientific arena je mchango wenu tunaweza kuulinganisha na wa mwanaume!? Basi tuanze kuwalinganisha nyie na wanaume kwenye hizi zama za ukombozi wenu kama mnavyouita, kwanini leo hii ukienda kwenye chuo chochote Engineering courses utakuta kwa 80% takers wake ni wanaume? Kwanini ukienda vyuoni medical professions wasomaji wake wengi ni wanaume!? Ina maana tuseme kuwa wanawake hawazipendi hizo courses ndio maana wasomaji wake wengi sio wanawake?

Mpaka sasa hivi kuna binadamu zaidi ya 30 waliowahi kufika mwezini lakini kati yao hakuna mwanamke hata mmoja wote ni wanaume, sasa je ina maana wanawake pamoja na fair ground ya kushiriki mambo ya kisayansi mpaka leo hii bado mtaki kufanya mambo makubwa makubwa kama hilo la kufika mwezini!?

Silcon Valleys innovators wengi inaowatoa ni wanaume akina Teddy Macknoon, Andre Rubin, Ross mason,Solomon Hykes,Jeff Hemmeebecher,Josh Reeves,Edward Kim na Mark Zuckerberg...?? Ina maana wanawake nyie hamna interest kabisa na scientific innovation pamoja na kuwekewa accessibility sawa ya elimu na wanaume?
Pia wewe wasema wanaume superior and blah blah za hapa na pale zaidi ya ubishi wakutokujiamini JF umeachive nini Ku change hata jamii. Maana wanaume positive tumeona impacts zao na wana big brain to understand how about you.
kwa jinsi ulivyo andika hapa ni kama vile unanijua personally, hivyo hata nikikwambia mambo niliyo achieve na yakaisaidia jamii itakuwa ni kazi bure tu.

Jibu la kukupa hapa ni kwamba mimi ni Triple K yaani ni mtu wa Kula,Kunya na Kulala tu.
Sijaweza kujibu hoja zako zote vile natumia simu na nimeku quote
Hata mimi natumia kifaa kama hicho chako ila nimeweza kujibu hoja zako zote kwanini wewe ushindwe?
 
Wanaume kujifananisha na suleiman wananichekeshaga kweli

Unakuta mtu anasema mfalme Suleiman wakati hata baiskeli hana, nguvu za kiume za kudunduliza, hekima hana wawe wanajitolea mifano wanayofanania lakini vinginevyo tutawacheka sana tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…